BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
- Thread starter
- #3,781
USA hawawezi kuwafunga Ghana poleni washabiki wa Obama and co. mwambieni tu Bill Clinton arudi nyumbani aendelee kula tende.
Mkuu USA wana advantage kwenye speed na determination. Ghana kama wakiacha papara na kupunguza makosa wanapofika golini wanaweza kabisa kushinda mechi hii. Ngoja tusubiri