World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Katuni gani hiyo itakuburudisha zaidi ya hii soka..T&J? au Dora?!..uwe unachungulia na soka wakati uko na katuni!

Ni bora nimwangalie Popeye the sailor man na The Flintstones kuliko hawa Chile.....wameshaniboa

Na kesho ifike haraka tumpige (USA) mtu bao....nawaonea huruma wapenzi wa Ghana kesho
 
Ni bora nimwangalie Popeye the sailor man na The Flintstones kuliko hawa Chile.....wameshaniboa

Na kesho ifike haraka tumpige (USA) mtu bao....nawaonea huruma wapenzi wa Ghana kesho

Haya endelea tu na hizo katuni mana ni 2-0 sasa Spain wakiwa juu!..Na kesho Ghana wanaweza kufungwa na US,sishangilii timu yoyote kesho ntamshangilia mshindi tu!!
 
Ni bora nimwangalie Popeye the sailor man na The Flintstones kuliko hawa Chile.....wameshaniboa

Na kesho ifike haraka tumpige (USA) mtu bao....nawaonea huruma wapenzi wa Ghana kesho

Kisije kibao kugeuka tu na ikawa vice versa.
 
Kisije kibao kugeuka tu na ikawa vice versa.

Amini usiamini kesho niko upande mmoja na Obama.....sports can also make strange bedfellows....lol

Nasikia Slick Willy naye atakuwa ndani ya nyumba kesho....Go USA go....wafunge hayo Maafrika magharibi
 
Speed na determination ya USA inanifurahisha sana. Waghana wakiendelea kufanya papara kama katika mechi za nyuma wanapoingia kwenye 18 basi kesho watafunga virago lakini wakitulia basi anything can happen during those 90/120 minutes.
 
Haya endelea tu na hizo katuni mana ni 2-0 sasa Spain wakiwa juu!..Na kesho Ghana wanaweza kufungwa na US,sishangilii timu yoyote kesho ntamshangilia mshindi tu!!

"When all choices seem wrong, choose restraint." - Master Yoda. restraint means do not watch the match, otherwise you will choose side involuntarily.
 
USA hawawezi kuwafunga Ghana poleni washabiki wa Obama and co. mwambieni tu Bill Clinton arudi nyumbani aendelee kula tende.
 
yani umesubiri goli la kwanza ndio ujitambulishe unawashangilia ha ha ha .haya kila la kheri mie nipo nipo tu nsubiri kesho sitaki stress za ajabu saa hizi nimebeba za kutosha na timu zangu za africa.
Hilo neno mkuu timu zetu zimeharibu sana hope Ghana watafanya vyema kwenye hii round ya pili.
 
siangalii mechi zijazo nahisi kuumwa maana uzalendo umeniponza!!
niwe napitia-pitia umu jamvini basi
!!!!!!
 
Italy wamenyolewa kwa chupa na kuachia kombe mapema sana katika duru za awali sana. Nadhani wamejisikia kufedheheka sana.

jamaa alimwaga chozi alibidi abembelezwe kama dede mtoto!!
 
siangalii mechi zijazo nahisi kuumwa maana uzalendo umeniponza!!
niwe napitia-pitia umu jamvini basi
!!!!!!
Ghana tu imebaki saa hizi ndio raha ya World cup inaanza mwanzo timu za nyumbani zilikuwa zinachanganya habari au kama vipi shangilia magoli ya timu zote lol.
 
hivi tukishakumfungisha virago OBAMA leo, tunakutana na mshindi wa mechi gani? hehehe kweli WC imeanza sasa ,acha nifute TV mavumbi kidogo

Uruguay au mkorea.World ndio inaanza na leo usiwe na wasi wasi mkuu Ghana hawatuangushi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…