World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

holland vs slovakia
japan vs paraguay

mon/tues respectively
 
juzi adebayor alikuwa anaongelea hii ishu, lakini bahati mbaya aliongea mpaka akamaliza sijamuelewa chochote. lakini in short alisema hii kitu kwa nchi za black africans haiwezi kuepukika na akawapa exceptions arab africans kama egypt ,algeria, morocco etc

Ade bwana eti haiepukiki ila hajaelezea sababu ya msingi!..hizo nchi za kaskazini mwa afrika mara nyingi zinakuwa na makocha wao siyo wazungu kama ulivyosema!.tuna safari ndefu,inadibi tuweke na wachezaji wazungu yani tuwape uraia wa haraka wachezee timu zetu!labda tutatoka,ha ha
 
Tatizo la makocha ni shule, makocha wetu hawajaenda shule. Tatizo linakuwa kubwa zaidi hatuna vyuo wala scholarships za kuwasomesha makocha. Labda tuombe FIFA waanzishe chuo Southern Sahara na fedha zitafutwe kwa ajili ya kuwasomesha.
 
Tatizo la makocha ni shule, makocha wetu hawajaenda shule. Tatizo linakuwa kubwa zaidi hatuna vyuo wala scholarships za kuwasomesha makocha. Labda tuombe FIFA waanzishe chuo Southern Sahara na fedha zitafutwe kwa ajili ya kuwasomesha.

hii nayo ni point mkuu, sio jitu kwa kuwa umechezea Yanga tena ndio unajihisi unadeserve kuwa kocha. ni lazima tusomee destiny zetu bana. so poor Africa tunasomea uchawi tu heheeheh
 
Italy wamenyolewa kwa chupa na kuachia kombe mapema sana katika duru za awali sana. Nadhani wamejisikia kufedheheka sana.
 
Italy wamenyolewa kwa chupa na kuachia kombe mapema sana katika duru za awali sana. Nadhani wamejisikia kufedheheka sana.
Sikuona thread he he he..

Naona wadau wameanza ku-suffocate na hii michuano.
 
Wadau msichoke, hadi hivi sasa zimeshapigwa mechi 44 bado mechi 20 (+ kama kutakuwa na playoffs). Hii inamaana mmeshaangalia karibia asilimia 70 ya mechi zote..lol
 
Wadau msichoke, hadi hivi sasa zimeshapigwa mechi 44 bado mechi 20 (+ kama kutakuwa na playoffs). Hii inamaana mmeshaangalia karibia asilimia 70 ya mechi zote..lol

asante kwa kutupa moyo wa kuendelea na safari
 
_48168196_vanpersie766.jpg

... Van Persie akipigilia Msumari wa tano kwenye Jeneza la cameroon!

_48168744_huntelaar766.jpg

Klaas Jan Huntelaar ndie akapigia msumari wa sita na kumfanya simba wa nyika kulala kwa amani kwenye Ardhi yake mwenyewe!! See
yaa 2014
 
_48166712_handbags_getty.jpg

Purukushani tupu hapa watoto wa Papa walitaka kuwahi mpra ili kuuleta kati ndo ikatokea balaaa
 
_48025324_466x260_portugal_brazil.jpg



_48025317_466x260_nkorea_ivorycoast.jpg


Friday's first batch of games see Brazil target top spot in Group G and Portugal try to confirm their qualification while Ivory Coast chase a hatful of goals against North Korea to keep their slim hopes alive.
Group G W D L GD PTS
Brazil 2 0 0 3 6
Portugal 1 1 0 7 4
Ivory Coast 0 1 1 -2 1
North Korea 0 0 2 -8 0

Group H
Group H teams W D L GD PTS
Chile 2 0 0 2 6
Spain 1 0 1 1 3
Switzerland 1 0 1 0 3
Honduras 0 0 2 -3 0
 
Mods naomba kufanya editing ya Title iwe WC 2010:North Korea V IvoryCoast plus Portugal V Brazil
Kama yashindikana i delete ili wengine wapate kuanzisha new post of these matches
 
TEAM NEWS
Brazilian-born Deco has again been ruled out for Portugal with the same hip injury that caused him to miss the 7-0 thrashing of North Korea. Ruben Amorim is also out and coach Carlos Queiroz is likely to stick with Hugo Almeida ahead of Liedson upfront.

Brazil will make two changes from the side that beat the Ivory Coast. Kaka is suspended so former Arsenal player Julio Baptista will replace him and Dani Alves is expected to play in place of the injured Elano.

Suspended: Kaka (Brazil). One booking from suspension: Almeida, Mendes, Ronaldo (Portugal); Ramires (Brazil)

MATCH FACTS
Head-to-head
- They have met 18 times. Brazil have won 12, Portugal four and there have been two draws.

- Their only previous World Cup encounter came in 1996 , when Portugal beat Brazil 3-1 in the group stages.

Portugal
- The last time Portugal lost a match was actually against Brazil, when they were hammered 6-2 in November, 2008. In their 17 games since, they have won 12 and drawn five.

- They have kept 18 clean sheets in the 23 matches since Carlos Queiroz took charge and have conceded just two goals in their last 13 internationals.

- Portugal's 7-0 win over North Korea was their biggest-ever win at the World Cup and the seventh biggest in the tournament's history.

Brazil
- Brazil's only defeat in their last 28 matches came against Bolivia at altitude in La Paz.

-Brazil have participated in all 18 previous World Cups, have won the most world titles (five), have won the most World Cup matches (66) and have scored the most World Cup goals (206).
 
feel it,spain is there loftus stadium ndani ya pretoria(tshwane)leo vs chile saa 3 na nusu usiku saa za bongo,refa ni Marco Rodriguez toka Mexico
Iker Casillas
Sergio Ramos
Carles Puyol
Gerard Pique
Joan Capdevila
Xabi Alonso
Sergio Busquets
Jesus Navas
Xavi Hernandez
David Jimenez Silva
David Villa
 
Jose Maria Gutierez


feel it,spain is there loftus stadium ndani ya pretoria(tshwane)leo vs chile saa 3 na nusu usiku saa za bongo,refa ni Marco Rodriguez toka Mexico
Iker Casillas
Sergio Ramos
Carles Puyol
Gerard Pique
Joan Capdevila
Xabi Alonso
Sergio Busquets
Jesus Navas
Xavi Hernandez
David Jimenez Silva
David Villa​
 
wanafainali wote wa 2006 wametupwa nje 2010 world cup :biggrin1: bado brazil akitoka nita:biggrin1:
 
senator jaribu kufanya edit ya tittle wewe mwenyewe nadhani inaweza kukubali kwa vile wewe ndio umeanzisha.
 
Hii inaweza kuwa bonge la match na instahili kabisa kuwa fainali ya WC 2010.
 
Back
Top Bottom