World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Wapumavu hao ile game against Portugal walikuwa na uwezo wa kushinda
 
Pepe alijifanya anafahamu kuweka mtu kiatu. Kabebwa na mdogo wake Max MELO hadi akajikunyata kama mtoto mdogo.

Gilberto alifahamu kuwa jamaa analipa kisasi na kaenda kumpandishia.

Dunga kaiona pia akafahamu hapa kuna RED CARD inakuja na kamtoa harakaharaka......
 
brazil anaweza akampa jamaa bao 3 akampunguzia ivory GD, lakini hii inaitwa ndoto ya afternoon hehehehe
Ivorians wanachezacheza tu kama vile wameshakubali kutolewa..Kwa sisi washabiki kutegemea vinginevyo nadhani ni kujisumbua tu..
 
Ukitaka usipatwe na shinikizo la damu kwenye hizi fainali basi shabikia Brasil. Hawa jamaa utadhani wana sumaku kwenye miguu yao. Mpira unawaendea bila kupenda. Lakini matimu ya Afrika....hivi kweli kuna watu mlikuwa mnategemea haya matimu ya Afrika yafanye maajabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…