World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

we angalia tu goli la pili linaingia sasa hivi....germany oyeeee....sitaki presha mimi

Shosty bora nifanya manicure hapa mana huo uzalendo umenishinda kitambo!..liwalo na liwe au siyo mnorth korea wetu?ha ha
 
yametimia afrikani timu ndani ya last 16...........ghana vs USA anything can happen....
sat ghana vs usa
sun england vs germany

my prediction ghana na england wataingia robo fainali...............
 
BJ na PRETA nioneni ofisini. garama zenu za wiki nzima nitasimamia mimi heheheehhe

Kidhungu wanasema 'no free lunch' lakini hiyo ya offer yako najua ni bure tu kwa furaha!..sasa usibadili mawazo,nije na estimated budget siyo ya hizo gharama? usije ukapata presha tena bure!..Goo Ghana!
 
Hawa vijana wa Obama tutawaweza? Ghana wanatakiwa ku-improve goal score. Ni vigumu sana kuwazuia USA kufunga, dawa ni kufunga mengi kabla hawajazinduka,
 
yametimia afrikani timu ndani ya last 16...........ghana vs USA anything can happen....
sat ghana vs usa
sun england vs germany

my prediction ghana na england wataingia robo fainali...............

mkuu usihofu, OBAMA tunamfanya kama BRAZIL alivyomfanya ZIMBABWE. Acha tufocus robo fainali tutacheza na nani
 
Yaani vita ndio inazidi kuwa mbaya Ghana anapambana na Warlord
 
GOD BLESS GHANA!..Jamani wazalendo wote mliozisapoti African teams naona Mola kajibu maombi kwenye hii game ya Ghana!..
 
GOD BLESS GHANA!..Jamani wazalendo wote mliozisapoti African teams naona Mola kajibu maombi kwenye hii game ya Ghana!..

acha kujitoa bana , najua na wewe ulikuwa unaumia kwa ndani , BTW ungana nami katika maombi ili uingereza atolewe na mjerumani .
 
Yeah......Ghana washindwe wao tu..........Btw unalala saa ngapi Mpemba?..........hahaaaaaaaaaaa

mkuu hiyo mechi wala siyo mteremko, ni akheri kukutana na England kuliko USA. USA wanauwezo mkubwa sana wa kufunga magoli (mpaka sasa wamefunga 4 + 2 zimekataliwa kimakosa na kila mechi wamepata bao). Ila pia wanafungika, wameshafungwa goli 3.

Ghana wanagoli 2 mpaka sasa, zote za penati. Wameonyesha udhaifu mkubwa sana katika ufungaji, pia wanafungika, wameshafungwa goli 2. Hivyo hiyo mechi ni ngumu sana na haitabiriki. But I wish Ghana a good stunning win, Go Ghana.
 
kuna tv show ya world cup shaakira anahojiwa kuhusu WAKA WAKA anasema it means SHINE IN SWAHILI.......jamaa studio anamuuliza sio SHINE SHINE hivi shine sio ng'aa??
 
kuna tv show ya world cup shaakira anahojiwa kuhusu WAKA WAKA anasema it means SHINE IN SWAHILI.......jamaa studio anamuuliza sio SHINE SHINE hivi shine sio ng'aa??

namimi nimeiona hiyo show mkuu, nadhani shakira kachemsha kwanza ule wimbo si kaukopi cameroun au?
 
Back
Top Bottom