World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hamsik namuona sijui ndo real punk or gothic! Like his style...
 
Balantanda.... Hii Imelda vibaya
host wa kwanza ever kutolewa first round ameshapatikana- south afrika. Labda Leo tutapata defending champion wa kwanza kutoka round ya kwanza!
 
hivi kwanini A.PIRLO yuko bench??majeruhi,card au???
 
Mabingwa watetezi leo lazima washinde ili waingie last 16.....katika mechi za leo kila timu inaweza kuingia last 16 hivyo kufanya mechi hizi ziwe DO or DIE......sikumbuki mara ya mwisho bingwa mtetezi kutolewa grp stage.....

France walitolewa kwenye round ya kwanza mwaka 2002 (Korea/Japan) wakiwa mabingwa watetezi
 
_48164766_dinatale_reuters.jpg
 
Balantanda.... Hii Imelda vibaya
host wa kwanza ever kutolewa first round ameshapatikana- south afrika. Labda Leo tutapata defending champion wa kwanza kutoka round ya kwanza!

hapo pa blue ni.......?
 
Back
Top Bottom