Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,272
Ndio unaamka, kumekucha saa nyingi!.mmmh!!!
Ndio unaamka, kumekucha saa nyingi!.mmmh!!!
mmmh!!!
naona wanazipa nafasi sana winger za ujerumani na inaweza kuwa cost vibaya sana.
alafu kama Ghana wamekaa ki-draw zaidi leo au macho yangu tu?
mmmh!!!
mmmh!!!
matumaini yapo kule kwa asamoah.
Go Germany..huhuuuuh!..kimoyo moyo nipo Ghana,lol!!
asamoah gyan ndio striker ila jamaa ni bingwa wa kukosa magoli ya wazi.....labda leo ipatikane penati ingine......
Mbona unaishia kuguna tu? Au ndo unasubiri ule msemo kwamba waafrika tunaweza kuwa mabingwa wa world cup ya mambo flani tu?
Go Germany..huhuuuuh!..kimoyo moyo nipo Ghana,lol!!
ungekuwa baa huku uswahilini kwetu tungekubeba juu juu hadi nje.....LOL
Go Germany..huhuuuuh!..kimoyo moyo nipo Ghana,lol!!
lol .... unaogopa Ghana wakifungwa utaugua ghafla? onyesha uzalendo wako moja kwa moja bila woga.
Ndo mana nimejichimbia huku sitaki kuzomewa na kutolewa mkuku..ha ha!..yani wewe hukati tamaa?! eniwe kama ni huzuni basi Ghana leo wanafunga dimba halafu tufurahie 16'z mpaka fainali..
hehehehe karib kwenye BIG SCREEN la JF . duh tumekoswa mbaya sana