Mi nasema England inaingia nani anabisha? Bet 50 bucks.
Haya sasa ngoma unayo. Deal or no-deal?
no deal! mkuu ni maombi yangu tu kwamba muingereza atolewe lakini naelewa kwamba jamaa ana nafasi kubwa ya kupenya.
england team:james a cole,upson,terry,johnson barry,lampard,gerrald,milner defoe,rooney
naona DEFOE anaweza kuwa hero leo................
HA HA HA!HAINA KWERE...hata hivyo nilikuwa naogopa mwekezaji,halafu hako ka-familia marafiki zako naona nina mkosi nako sana,kila nikija lazima israeli aondoke na roho ya mmpja wapo...
hivi nikija tena atakufa nani?
Welcome to the winning team bi.mkubwa.naungana na wewe sibishi.
inaonekana leo DEFOE NA MILNER WATAANZA............!
bondia heskey anausugua benchi leo?
Yes mkuu hii ni Jihad - Capello anasema kazi yake yote ya miaka miwili itaamuliwa leo baada ya dk 90. Leo ni either you die but England Must win - wacha tungoje mtanange.
Mi nasema England inaingia nani anabisha? Bet 50 bucks.
Si ndo maana tunaweka dau? au makengeza?Unajimu huu Kaka mpira dakika tisini na unadunda kote kote!
heskey benchi......naona wamegundua wanahitaji kitu kingine zaidi ya nguvu tu...defoe ana vitu vingine including snap shots kali............
muingereza akitemwa leo ,kibarua cha kapello kinaota mbawa.