World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Yeaaah!..kumbe wamesikia?......anayesema ile sio 'kipepsi' pole zake, huenda hajaona poa.
 
kama mie Dominech baada half time naomba kwenja kujisaidia nakata kipala huyo nachukua teksi moja kwa moja airport.
 
Jamani tuambizane hapa hii imepengwa au wnastahili
 
Hawa Ufaransa hata wakikatiza 'jangwani' kwetu kule lazima wachezee kichapo....Kuna anaye cheki game ya upande wa pili?, (Uruguay na Mexico), kuna dalili la goli kule kweli?
 
Goalie wa RSA kaokoa bao!!!...Jabulani limemdundia poa....:biggrin1:
 
dk zimebaki nyingi saaaana
ngojeni muone yataporudi hahaha
 
France wamekuja world cup na gundu la goli la mkono la Henry lol.lina wa hunt big time .

Kwa kweli hata liliniuma san, hii haikuwa nafasi yao kabisa

EEEEEEEhhh, Mexco washafungwa tayari, SA naona wanafasi
 
Back
Top Bottom