World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Group A
Uruguay 3 1 2 0 4 1 3 5Mexico 3 1 2 0 4 2 2 5
South Africa3 1 1 1 101 4 97 4
France 3 0 1 2 0 102 -102 1
hata kama sauz watashinda mia leo itakuwa ni bureee na standing itakuwa hivyo
 
Bonge la bao na Khumalo....safi sana.
Leo mpira wa RSA unasisimua and it has purpose.
 
Group A
Uruguay 3 1 2 0 4 1 3 5Mexico 3 1 2 0 4 2 2 5
South Africa3 1 1 1 101 4 97 4
France 3 0 1 2 0 102 -102 1
hata kama sauz watashinda mia leo itakuwa ni bureee na standing itakuwa hivyo

Akifungwa mtu katika ile gemu nyengine mambo yatakua mswano!...Tusubiri bado mapema.
 
Naona SA walifunga na kuomba na hata wale wenye imani za MaSangoma nao teteteteh
 
Hawa SA wanatengenezewa ushindi sasa mambo gani haya
 
tunaogopa vita ya wana SA mitaani!!
ata wakibebwa me poa tu...

im out here,see ya tmr
 
Sasa awa wajukuu wa Madiba wa-capitalise deficit ya France, wasituletee ujinga wa Ghana!
 
my Lord SA leo wana miujiza gani???

maombi?hahahaha ufaransa vipi hawa vijana au ndo mgomo wa anelka
 
Back
Top Bottom