barca sasa hivi ina mpango wa kukuza vipaji vya waspain,ndio mana inawataka fabregas na villa,sasa akija villa halafu kuna bojan krkic itakuwa balaa,mana wamechoka kuwapa majina wageni kuanzia johan cruyff,maradona,hristo stochkov,romario,ronaldo de lima,figo,rivaldo,kluivert,gaucho na messi,sasa utaona hata messi ataguswa kidogo injury/majeruhi miezi 3 au 6 kiwango kitashuka nae ataondoka halafu kina villa na krkic wanachukua namba,mana sasa ndio wapishi wote watakuwepo iniesta,fabregas,busquest,rodriguez na xavi,waspain sasa wanaitumia barca kukuza na kuleta majina ya waspain,spain ya sasa tofauti na nyuma ambayo timu mfano barca ilikuwa wageni wengi hususan waholanzi enzi za kocha luis van gaal wa bayaern munich,real madrid ndio mpaka leo bado wageni,ila barca hata kocha wanachukua aliechezea na mzawa eg pep guardiola.