NIKIRIPOTI KUTOKA USUKUMANI,mimi ni Teamo-wa JAMIIFORUMS!....
firstlady1 lala mama.....!
ha ha ha!haya weeee!ngoja nikuupulizie humu ndani ili nilale....!hawa mbu bana lolhawa waspanyole wasitegemee kombe kabisa
ha ha ha!heheheeh dah hapa imebidi nicheke vibaya sana
ha ha ha!
nimeripoti ki-ngosha ngosha eeh!kesho nitakuwa msata pale kwa mbayuwayu....!
hahaha!haina neno....tutakuhitajia gemu la sauzi kesho uje umimine razi kuliko leo.
Perfomance ya TORRES kwenye timu ya Spain sio nzuri sana,inaonekana kama ana beef na David VillaSublime cross by Ramos from the right, it finds Torres completely unmarked at the back stick - but he heads down and wide
hapa naona liverpool hawana foward tena
senator na wewe maneno yako lakini nimekuelewa![]()
Hapa Barca wamechukua kifaa kweli kweli mtoto mtamuu huyu sijui Babu SAF kwashindwaje kumpata