World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hii kadi nyekundu ya Kaka ni mbaya kwa Ivory Coast, inaweza ku-affect mchezo wao na Portugal. Portugal wakishinda kesho wakatoa draw na Brazil watakuwa na point 5 ambazo the elephants hawawezi kuzifikia.
 
lawama namba moja iwaendee mods kwa kumuweka huyu mzee (shehe yahaya) kwenye hii sredi (msiniban ,natania tu)
lawama namba mbili imuendee erikson kwa kumuingiza gervinho kipindi cha pili
lawama namba tatu imuendee referee kwa mdebwedo aliouonesha goli la pili.

pamoja na yote IVORY tunakwenda 2nd round
 
Last edited by a moderator:
habari iliyonifikia hv punde kutoka Soccer City J'Burg inasema kwamba....mende aina ya Ivory Coast aliyejaribu kuangusha kabati aina ya Brasil alijikuta akifia eneo la tukio japo alifanikiwa kuvunja glass yenye material aina ya Kaka.....teh teh teh
 
Ivory Coast player (no.18) kaleta usanii. Worst referee I've ever seen.
 
Nadhani ni makosa kuifurahia hii red card, sasa naanza kukosa matumaini ya timu zote za Africa. Ivory coast walikuwa na nafasi nzuri licha ya kufungwa na Brazil kwa matumaini kwamba brazil wataifunga Portugal. Sasa hizi tension zitawasukuma kufanya fitina. Kumbuka Portugal ni ndugu zao.
 
sasa tunakwenda au umeghairi?
 
habari iliyonifikia hv punde kutoka Soccer City J'Burg inasema kwamba....mende aina ya Ivory Coast aliyejaribu kuangusha kabati aina ya Brasil alijikuta akifia eneo la tukio japo alifanikiwa kuvunja glass yenye material aina ya Kaka.....teh teh teh

teheb tehe tehe nimecheka sana, hii unaweza kuchorea carton nzuri sana.
 
habari iliyonifikia hv punde kutoka Soccer City J'Burg inasema kwamba....mende aina ya Ivory Coast aliyejaribu kuangusha kabati aina ya Brasil alijikuta akifia eneo la tukio japo alifanikiwa kuvunja glass yenye material aina ya Kaka.....teh teh teh
kaone kwanza!!!!!

at least i loved Kaka's walk of shame!!! cute little thing... smile to the stand for the Portugal game
 
gemu ni 2-1,seriously fifa itabidi wa deal na hili li refa la guatemala.yaani kumbe aliona handball halafu akapeta tu,duu..halafu kwanini refa atoke guatemala?refa wa hii mechi ilibidi atoke europe au asia..pambaafff
 
umeona huyu refa alikuwa anacheka na fabiano huku anamuonyesha mkono,as if kaona na anamueleza pale ulishika.......
 
gemu ni 2-1,seriously fifa itabidi wa deal na hili li refa la guatemala.yaani kumbe aliona handball halafu akapeta tu,duu..halafu kwanini refa atoke guatemala?refa wa hii mechi ilibidi atoke europe au asia..pambaafff

yaani mkuu wee acha tu kama lile goli tungelipata ikiwa 2-1 nakuhakikishia tungeliwabugiza mengine mawili kabla kipyenga. refa kauza gemu halafu anacheka na fabiano, kaniboa kwli huyu refa, hehehehe haki ya nani akifariki mazikoni kwake siendi
 
gemu ni 2-1,seriously fifa itabidi wa deal na hili li refa la guatemala.yaani kumbe aliona handball halafu akapeta tu,duu..halafu kwanini refa atoke guatemala?refa wa hii mechi ilibidi atoke europe au asia..pambaafff

Kutoka Guatemala? wewe ulikuwa unaangalia mechi gani? Refa ni mfaransa.
 
Good to see you mpaka mwisho wa mechi..siku zote usitupie lawama kwa mtu mwingine we kubali tu yaishe..kiukweli refa kapendelea goli la pili la Brazil..ila ndo hivyo tena mpira magoli siyo chenga!..
Vp bado kuna sherehe ya ushindi?ha ha..kwaheri Klorokwin
 
Makocha wa EPL akina Alladyce eti wanajifanya kukandia physical approach ya Ivorians, ama kweli nyani haoni nanihii yake..lol
 
huyu sijui ndio keshaaga ulimwengu....haya fufuka basi drogba kawatoa kimasomaso

Mkuu bado napumua..Walau IVC wameonyesha kiwango flani japo wamefungwa lakini bado nina imani kwao..
 
utamtaarifu na Belindajacob , simu yangu haina salio. Huyu referee katu cost sana bana . ukweli usemwe.

Nipo nimejaa tele..jamani pole sana,refa nae alikuwa hana maamuzi sahihi nimekubaliana na hilo..tuondoe lile goli la pili za Brazil,wanabaki na 2-1,furahi basi..ila FIFA imshughulikie mana nimeona hadi replay anamwambia mchezaji wa brazil kuwa aligusa nk halafu hajachukua hatua yoyote..As for Kaka,nimeudhika na tabia yake leo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…