hahaha Huenda wakati huo ndo tukawa natimu nzuri.Kwasasa bongo hata 50yrs mbele hakuna dalili...Ni bora kuliko kuleta wawakilishi wanaotupa presha tupuhe he he he idadi ya nchi africa......miaka 4-4 wc.....wakifuata alphabeti zamu ya tz itakuwa 2200............
mwakilishi mwingine wa afrika yupo uwanjani, je tutegemee nini?
Watakuwa timu ya kwanza ya afrika kuaga leo??
Kweli nilipenda sana lile Goli la Maicon ni moja kati ya mabao mazuri ya WC huenda kesho tukaona mengine mazuri kutoka kwa watoto wa samba.Ila Africa sijui kwann hatujifunzi!!On the other hand Maicon na Donovan wametufundisha ufungaji mwingine rahisi wa kutumia pembe ya uwanja
Wewe una balaa, nani huyo aliyetundika koti hewani ha ha ha~you made my day.au yule aliyetundika koti hewani.....ha ha ha
soccer is science of maths, angles, geometry and such! Hatuwezi hesabu!
ndiyo maana tulitawaliwa na bado tunatawaaliwa. Kule yule jamaa wa eugenics wanadai waafrika evolution haikukamilika (sorry i'm not supporting them though...)
Wewe una balaa, nani huyo aliyetundika koti hewani ha ha ha~you made my day.
Maths and Physics zinaplay part kwny Futbol (pale mwanzo uliandika vuvuzela nikaona hzo fix poa kiongoziRev jabulani ndio linasababisha hayo magoli ya imposibo engo, profesa aliyelidizaini analitetea ila linatesa sana makipa na makocha pamoja na wachezaji wamelikandia sana!
Duu basi kama hiyo science ya kutundika makoti hewani tunayo, basi WC tutakua tunaichukua kiulani hasa~bora turudi kwenye tunguli zetu!.si yule twig....tree....or.....dun knw!!!
yale ya usiku....labda!!!!