World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Heheeeeeeeee Hary Kewell red cared...............safi sana.......Go Ghana gooooooooooooooo
 
Ilove Ghana...........I love Africa..........Go Ghana go.........Go Africa go
 
Penantiiiiiiiii!!!!!...Go Ghana funga hio kitu....Duh!

Yani wasiwasi nliokuwa nao hata hiyo penalt live sikuangalia,nilichange channel kwa dk 1 halafu kurudisha nikaona wamefunga na replay zake..nimefurahi!! Ghana tufurahisheni zaidi jamani!
 
_48119256_holman2_getty766.jpg
 
Timu pekee ya Afrika ninayoishabikia, they need to step up na kuchukua advantage ya kuwa na mchezaji mmoja zaidi.
 
Hawa Ghana nao wameridhika na hilo goli walitakiwa sasa waongeze presha zaidi hovyo hawa nao
 
Back
Top Bottom