World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

leo ghana tuwaombee washinde halafu mechi ya mwisho wamkomalie sana germany kwani wajerumani wakipata nafasi ya kumkandamiza ghana hawatamuachia hata game ikiwa haina umuhimu kwao.....
 
leo ghana tuwaombee washinde halafu mechi ya mwisho wamkomalie sana germany kwani wajerumani wakipata nafasi ya kumkandamiza ghana hawatamuachia hata game ikiwa haina umuhimu kwao.....

Hivi Muntari bado yu mgonjwa???????????
 
Kwavile sijaiona mechi ya kwanza ya ghana,wacha niseseme kitu kwa sasa..
 
_48119048_rfans_getty766.jpg
 
huyu prince boateng anacheza ghana....kakaake jerome boateng anachezea ujerumani....je angepewa nafasi ya kuchezea german angeikataa na kukubali ghana??
 
duh tumekwisha! hawa makipa wa msimo huu sijui wanatumia pombe gani kabla ya gemu , aisee
 
Duh.....anyway unlucky....still lots of minutes left
 
Ndio mana sikutaka kusema..na wanaweza bamizwa lingine vilevile
 
Back
Top Bottom