FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,817
Unaingia kwa kunyata. Hali mbaya Lumumba.
Siku hizi mnaingia shift.
Usiku na mchana!!
Tembelea hapa uone huku ni kunyata? : Search Results - JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Unaingia kwa kunyata. Hali mbaya Lumumba.
Siku hizi mnaingia shift.
Usiku na mchana!!
MMU ni Magonjwa ya Moyo na Utu, huwa nnapitia-pitia mara chache kutowa nasaha zangu kwa vijana.
come down now...
u know i know u!!
pale mbona kuna vikongwe over 50? wakikusikia unawaita vijana...
nikiruka nije niirudie tenaaisee itabidi hiyo stage uiruke tu!!
manake hamna jinsi.
Hahaaa!
Nipogo sana.....hasa kule siasa ni.
Mzima wewe?
utamu half cut huyo....
go away!!
Kiongozi hawa watu wapo sn.... Ila watakua busy kidogo...... Jana nilimuona Tized mitaa Fulani akimtafuta Kasinde wake.... Rocky yupo utafiti na Mndengereko wamepofea sijui wako DRC?
Poa maa
Uko mzma ee
Mie mzima mama angu...
acha zako mrembo...
ujue "ningejua" huja baadae...