Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
naamu braza!! mambo ni vipi?
Ni pouwa Mkuu mzima wewe?
naamu braza!! mambo ni vipi?
yes!! niko poa sana kaka!! hawa watu wako wapi?
Mr Rocky, utafiti, Mndengereko, Tized...
where are u brothers??
Kiongozi hawa watu wapo sn.... Ila watakua busy kidogo...... Jana nilimuona Tized mitaa Fulani akimtafuta Kasinde wake.... Rocky yupo utafiti na Mndengereko wamepofea sijui wako DRC?
wiki iliyopita uliongoza kwa kung'ang'aniwa!!
kwi kwi kwi...
umesahau au..
what if ningeandika vise vesa?
njoo bibie...
maandamano mwisho MMU.
Duh, ni siasa imekuvaa hivi?
Nikihama jukwaa la siasa watafanya maandamano.
'Valentina' about turn!!!!! nyuma tembeaaa!!
ndiyo nini hichi? ni lini umekuwa hivi wewe.
Kama naota vile, upo?
Wacha porojo, kajionee maajabu: https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/927571-maajabu-hata-malaika-amkataa-lowassa.html