....Wa kwanza kuandamana ni mimi.....kama ilivyo kawaida yangu!:welcome:.
BTW kiwatengu nchi hii sihami labda Dr. Mihogo na mchumbawe Mushumbuzi ndio watahama......mimi ni wa hapahapa meku.
BCC: My love Lady doctor kwa taarifa.
CC: Karucee kwa maoni.
mambo vipi valeee
uko wapi siku izi?
Kiongozi hawa watu wapo sn.... Ila watakua busy kidogo...... Jana nilimuona Tized mitaa Fulani akimtafuta Kasinde wake.... Rocky yupo utafiti na Mndengereko wamepofea sijui wako DRC?
kheee naona tuhuma nzito nzito ..... sawa tumiss chaga ni mchawi
huogopi kulogwa?
kheee naona tuhuma nzito nzito ..... sawa tu
hii taaluma sikuwa fikiri kuingia ... japo natambua ni taaluma kama nyingine tuuchawi kwani siyo taaluma kama zingine?
huogopi kulogwa?
Atoto, acha tu