Women with higher IQ's...

 
nina konfesheni hapa, ila umri hauruhusu kuanika mambo kadhaa, ila nimefarijika 🙂

Ndio unakua sasa, gademu! !!!!

We unadhani watu hatuwaoni hao wanaoitwa "cutie" ???!!!
Purposive sampling mamaaa!!!!!

Ila ukikuta kisu halafu kichwa daaanh, "nionee huruma mwenzio nina mke na watoto" alisikika akilalama kijana yule wa miaka ya thelathini ya kati mbele ya mdada yule ambaye ni mrembo kwa muonekano baada ya kumbana njemba kwa hoja!!!!
 

hahahahahhahahah umeua mi nataka records za visanga vya lara lol
 
kuna mahali nimeuliza tunaipimaje?
Sikujibiwa.


Sina weledi sana kwenye maswala ya IQ lakini nilipekenyua kidogo, kwamba hii kitu husomei ni ya kuzaliwa nayo, na kwamba haipimi the quantity of ur knowledge but rather measures a person's general intellectual ability to understand ideas, ikilinganishwa na jamii nzima yenye ngazi moja ya kimaendeleo, how well we reason, distinguish relationships and solve problems are the kinds of things the test aims to discern.

While IQ tests can be quite predictive of general intelligence, ni muhimu kukumbuka they don't purport to tell the whole story of a person's abilities. Vitu ambavyo IQ test haiwezi kupima ni pamoja creativity, emotional sensitivity and social competence. An IQ test also measures how well we process information, particularly our ability to store and retrieve it.

Hata kama utaugua magonjwa ya akili, a person's IQ tends to stay about the same throughout life. Kwa hiyo nikirejelea kwenye uzi, sasa hapa I will call for help…
Kongosho, Lala1, King'asti, Mankana wajanja wengine tushirikiane kama sio kushikamana kutoa jibu sasa.
Hivi ni vigezo gani ladies with HIGHER IQ wanaviangalia ili kupata mwanaume sahihi?

Na mwanaume sahihi ni yupi, hivi usahihi wa mtu unaweza kuwa sawa kwa kila mtu? Nimeona michango kibao but nahisi maelezo na majibu ya hapa yanaweza kujibu vizuri thread hii... ni mtazamo tu
 
ha ha..! Hakyanani hamna aliyebaki hapo. Na wanaume je??

anayetambua kuwa anaye hudumiwa ni mke na plays the role of the head of the house bila kuwa na mchepuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…