Women Vs. Men

Kila siku nimekua nikisema hapa,si sayansi wala kingine kitakachomsaidia mwanadamu katika eneo hili la mahusiano bali kukaa chini na kukubaliana kati ya mwanamke na mwanaume kuwa,pamoja na kujitahidi kila mmoja kumfaham mwenzake kwa kutumia utaalam wa kila aina,kila upande umetoka patupu.Kila siku ndoa zinavunjika,mahusiano yanakufa.Baada ya hayo kila upande unavurumishia lawama upande wa pili.Kama huamini tazama michango ya wanawake na wanaume hapa!
 
nadhani hiyo sehemu kati iliyosema
wanaume wanafikiri wanawake ningependa ibadilishe na iseme "SEX"

Agrred. Na ndiyo ukweli. Angalia post #16.

Mzima lakini Bibie? afrodenzi nilikuwa sayari za mbali ndo kwanza natia timu. Zawadi zako za Ushindi ulishachukua kwa Invisible?
 
Last edited by a moderator:
Kila siku nimekua nikisema hapa,si sayansi wala kingine kitakachomsaidia mwanadamu katika eneo hili la mahusiano bali kukaa chini na kukubaliana kati ya mwanamke na mwanaume kuwa,pamoja na kujitahidi kila mmoja kumfaham mwenzake kwa kutumia utaalam wa kila aina,kila upande umetoka patupu.Kila siku ndoa zinavunjika,mahusiano yanakufa.Baada ya hayo kila upande unavurumishia lawama upande wa pili.Kama huamini tazama michango ya wanawake na wanaume hapa!

Ni kweli Mkuu Elyer hivyo ndivyo inavyopaswa kuwa, lakini hali halisi si hivyo. Ni nini kifanyike?
 
Last edited by a moderator:
Agrred. Na ndiyo ukweli. Angalia post #16.

Mzima lakini Bibie? afrodenzi nilikuwa sayari za mbali ndo kwanza natia timu. Zawadi zako za Ushindi ulishachukua kwa Invisible?

:)
mi mzima kabisa mkuu wangu .
nliona umepotea ghafla yaani .wazima huko kwenye sayari ya mbali ??
hopefully na we ni mzima kabisa...

Hivi kumbe nilikuwa na zawadi hiyo mbona mi sijui naomba details kidogo nianze kusumbua hahahahah lol:redface:

good to see you back dear :)
 
Kitu kilekile tu angalau tunawakumbuka kwa kitu kimoja halafu kwenye hilo bichwa la mwanamke ni wazi wako materialistic sana wanawaza pesa na good time tu.

well, tunawaza material tunawaza kuwapanyie good time..
kupendeza kwetu ni matamanisho kwenu na mwanamke akiwa na
ile "self confidence" kwa alivyo basi na nyie mta enjoy zaidi.
kama sio sisi kuvaa, kupendeza, kunukia vizuri hata nyie msinge waza hiyo "SEX".

Niambie ukweli utaenda karibu ya mwanamke anaenuka??????
 
Kusema za ukweli anayenuka simuwezi,i like a woman with delightful scent na kupendeza muhimu ila sasa kuna ile ya kuwa obsessed na style na madoido mpaka mwanamke anasahau kusudi la kuishi na kuwa na mahusiano.Anakuwa caged kwenye ka-dunia kake kenye makorombwezo tu wakati vyote nimenunua mimi anayeniweka pembeni.
 
they are more than selfish, ndio maana nchi walizokwisha kuendelea wanaoa wanaume wachache tena kwa sababu ya kutimiza malengo yao ya kisiasa, hata mm nitaoa kwa sababu hiyo hiyo, siku zote ninapopangiwa bosi mwanamke du amani hutoweka.
 
Kusema za ukweli anayenuka simuwezi,i like a woman with delightful scent na kupendeza muhimu ila sasa kuna ile ya kuwa obsessed na style na madoido mpaka mwanamke anasahau kusudi la kuishi na kuwa na mahusiano.Anakuwa caged kwenye ka-dunia kake kenye makorombwezo tu wakati vyote nimenunua mimi anayeniweka pembeni.

dahhhh hapo pa red siingilii kabisa.. simo
 
Haumo wapi wakati ndio zenu nyie..mkipewa lift mnataka kuweka kishoka plus miguu kwenye dashboard na mkipanda baiskeli lazima mhakikishe mmesimamia.

nimekwambia simo.
kama we umezoe kubeba kila unae muona hayo ni matatizo yako ..
khaaaaaaa kuna wengine hapa tunazo za kutosha, hatutaki uporo khaaa. ..
 
Sawa binti nimeielewa standpoint yako na naiheshimu pia...vizuri sana endelea hivyo hivyo and to set the record straight mimi sio wa kubeba kila ninaye muona am very picky,a mere cute face doesn't lure me.
Women are fascinating beings i like 'em.
 
I found this showing Woman mind at work: Girls do you agree?

9098-women-mind.gif
 
Sawa binti nimeielewa standpoint yako na naiheshimu pia...vizuri sana endelea hivyo hivyo and to set the record straight mimi sio wa kubeba kila ninaye muona am very picky,a mere cute face doesn't lure me.
Women are fascinating beings i like 'em.

good on ya mate :A S thumbs_up:
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom