Boyz II Men

Boyz II Men

Kuna kaukweli fulani hapo. Lakini usisahau kitu kimoja mkuu, mfumo wa chama huwa unajua jinsi ya ku-control hizi harakati. Hawa wa sasa hivi wasipocheza karata zao vizuri, wanaweza kuishia njiani kama ilivyowatokea wale wa 95 waliokatwa jina kule Dodoma kabla ya kurudi upya 2005. It's a game of chess, siyo kukurupuka.
 
Kuna kaukweli fulani hapo. Lakini usisahau kitu kimoja mkuu, mfumo wa chama chetu huwa unajua jinsi ya ku-control hizi harakati. Hawa wa sasa hivi wasipocheza karata zao vizuri, wanaweza kuishia njiani kama ilivyowatokea wale wa 95 waliokatwa jina kule Dodoma kabla ya kurudi upya 2005. It's a game of chess, siyo kukurupuka.
Chama chenu kimezeeka/kimekongweka bin mkongojo.Mwenyekiti anajiamulia mambo tu na hamna la kumfanya.Mkileta nywii nywii,house arrest inawahusu kwa mkupuo.
 
Umepiga mulemule, lakini usikariri siasa mzee wangu. Hata uone Mwenyekiti anajiamulia mambo leo, kuna kitu kinaitwa invisible hand ya wazee wa mfumo nyuma yake. Hakuna kiongozi anayefanya maamuzi peke yake 100%
 
Kuna kaukweli fulani hapo. Lakini usisahau kitu kimoja mkuu, mfumo wa chama huwa unajua jinsi ya ku-control hizi harakati. Hawa wa sasa hivi wasipocheza karata zao vizuri, wanaweza kuishia njiani kama ilivyowatokea wale wa 95 waliokatwa jina kule Dodoma kabla ya kurudi upya 2005. It's a game of chess, siyo kukurupuka.
Uwezekano huo upo ila naona mnyukano mkali sana. Boyz II Men wa sasa watakuja na nguvu kubwa ndani ya muda mfupi.
 
Mnyukano upo na utakuwa wa kihistoria, ila swali ni je, wako tayari kwa gharama yake?

Ndani ya muda mfupi wanaweza kuja na nguvu kubwa, lakini kumbuka mfumo uliopo sasa hivi haupendi shocks za ghafla. Wakijaribu kulazimisha mambo kwa haraka, mfumo utawamwagia maji ya baridi kuwapoza, na siasa za Bongo, speed bila timing ni hatari sana Mkuu.
 
Umepiga mulemule, lakini usikariri siasa mzee wangu. Hata uone Mwenyekiti anajiamulia mambo leo, kuna kitu kinaitwa invisible hand ya wazee wa mfumo nyuma yake. Hakuna kiongozi anayefanya maamuzi peke yake 100%
Ukiendekeza tamaa za pesa utakuwa mzee wa mfumo? Wazee wa mfumo ilikuwa enzi kukiwa na maadili, hao wazee wa mfumo waliokaa kama mazombie rais anatangazwa kwa kura 31m za uongo wa wazi na mauaji juu, kuna wazee wa mfumo hapo?
 
Hawa hawawezi kudumi vision na maono yao havichanganyamani, wanaliana sana timing.. Wale washenzi walikuwa wametengezwa kuwa na agenda moja ndio maana waka win, japo nao kija nuka ila lengo kubwa likawa limefikiwa
Katika siasa za Tanzania sasa naona kundi kama lile la 1995 likijulikana kama Boyz II Men linakuja tena kuelekea 2030.
 
Kuna kaukweli fulani hapo. Lakini usisahau kitu kimoja mkuu, mfumo wa chama huwa unajua jinsi ya ku-control hizi harakati. Hawa wa sasa hivi wasipocheza karata zao vizuri, wanaweza kuishia njiani kama ilivyowatokea wale wa 95 waliokatwa jina kule Dodoma kabla ya kurudi upya 2005. It's a game of chess, siyo kukurupuka.
Wako wapi watu wa 95?
 
Mnyukano upo na utakuwa wa kihistoria, ila swali ni je, wako tayari kwa gharama yake?

Ndani ya muda mfupi wanaweza kuja na nguvu kubwa, lakini kumbuka mfumo uliopo sasa hivi haupendi shocks za ghafla. Wakijaribu kulazimisha mambo kwa haraka, mfumo utawamwagia maji ya baridi kuwapoza, na siasa za Bongo, speed bila timing ni hatari sana Mkuu.

An emergent system is a network where large-scale, complex behavior arises naturally from the simple interactions of individual components, without any central control or explicit programming.

My take Kuna mambo yametukia tuu bila kupangwa,

Liiini Tukapanga jambo/mambo kimkakati
 
Ukiendekeza tamaa za pesa utakuwa mzee wa mfumo? Wazee wa mfumo ilikuwa enzi kukiwa na maadili, hao wazee wa mfumo waliokaa kama mazombie rais anatangazwa kwa kura 31m za uongo wa wazi na mauaji juu, kuna wazee wa mfumo hapo?
Mkuu Tindo,

Hivi ni vita ya nguvu na ushawishi ,

Siyo vita kati ya wema na ubaya .

Nini ambacho hakipo Wazi hapo/huko kule pale
 
An emergent system is a network where large-scale, complex behavior arises naturally from the simple interactions of individual components, without any central control or explicit programming.

My take Kuna mambo yametukia tuu bila kupangwa,

Liiini Tukapanga jambo/mambo kimkakati
Kwenye siasa hata kile unachokiona kimetokea kienyeji, mara nyingi kina mkono wa mtu.
 
1785582347796.jpg
 
Kuna kaukweli fulani hapo. Lakini usisahau kitu kimoja mkuu, mfumo wa chama huwa unajua jinsi ya ku-control hizi harakati. Hawa wa sasa hivi wasipocheza karata zao vizuri, wanaweza kuishia njiani kama ilivyowatokea wale wa 95 waliokatwa jina kule Dodoma kabla ya kurudi upya 2005. It's a game of chess, siyo kukurupuka.
Uwezekano huo upo ila naona mnyukano mkali sana. Boyz II Men wa sasa watakuja na nguvu kubwa ndani ya muda mfupi
 
Back
Top Bottom