umeongea vyema hata me hua naona kama mtu hajamaliza mambo yake amalize ndoa ni kitu kingine kabisa japo wengi sana huchukulia kama fashion kitu ambacho si sahihi na mpaka mtu anaamua sasa naoa au naolewa that means ameshaona alienae ndo best choice kwake na haoni kwingine ila hapo ukijua nafasi yako katika ndoa inasaidia sana.
Mtu anaoa vizurii na mbwe mbwe zoteeeee, alafu after 3 months anataka devorce!!! Khaaaa sasa uliolea nn!! Uvumilivu hakuna kabisaaaa
Best Choice…? Na michepuko iachwe wapi..? Kama ndoa ilivyogeuka fashion na michepuko vile vile. Humu Jf kuna wanandoa wengi, kama wote wangeweza kufunguka kuhusu habari ya pembeni basi tungepata uhalisia wa kiasi gani taasisi ya ndoa inavyodhihakiwa.
Mtu kwenye harusi yake anaalika mchepuko wake bila soni wala woga! Unajiuliza hivi kwa nini kaoa/kuolewa in the first place…?!
Dunia langilangina!!
Its true my dear sisMarriage is a calling just like being a teacher, doctor etc. Ukishajua purpose yako kwenye ndoa basi hutojuta wala hutofanya ujinga kama uliosemwa.
Tatizo ndoa imekuwa kama fashion, tunaingia tu kwenye ndoa simply because umri unaenda na tunataka tu kuvaa shela. So Unaolewa kama kuondoa gundu afu ndani ya siku chache unaanza kuona ndoa kama ni zigo la chuma.
Ingia kwenye ndoa ukimpata mtu sahihi, na ukiwa na utayari kabisa wa nafsi wa kuingia kwenye ndoa na ukiwa mature enough kuhimili mikikimikiki ya ndoa.
Mi nadhan hapo ni kutojitambua vyemaUmenena vzr mkuu. Haipendezi mke wa mtu kujiunga na mitandao km hiyo. Lkn kuna hili jambo la mawasiliano ndani ya nyumba. Mwanaume anajifanya busy na kushikilia hii hoja ya kuwa " sisi ni mke na mume na sio gal friend na bf" hapo hapo yeye anawasiliana na watu mbalimbali lkn mke wake akimtumia sms kwenye wasap hata kujibu hajibu anadai yupo busy na mda wote yupo online. Wewe mwanaume pia angalia kama ni chanzo cha mkeo kuchat na watu wengine na SIO KULAUM TU. NDOA SIO GEREZA
Sawa mkuu kama ulivosema kuwa inauma kuona mke/ mmeo anawasiliana sana na ex wake kuliko wewe, lakini ( km nlivosema wanaume) wanakuwa wazito kuwa na mawasiliano ya furaha na wake zao basi mke anaamua kuanza ama kama yalikuwepo basi ndo yanaongeza kasi kuwasiliana na wengine. Hii ni mbaya sana hata story mme hataki lkn akipigiwa sim anatia story hata zaid ya nusu saa. Kwa mkewe ni habari ya ada, chakula, fundi, msiba, uginjwa, mchango wa harusi na yanayo fanana...wanawake wameumbwa kupenda kusikilizwa akiongea kwa hiyo mtu akim ignore anaumia sn moyoni. Sasa relief inapatikana humo mitandaoni.Mi nadhan hapo ni kutojitambua vyema
N believe me hakuna kitu kinaua mahusiano kama mazoea
Hatupaswi kuzoeana kiasi hcho
Nadhan busara ni kumfanya mke/mume/mpenz/gf.bf aonekane mpya kila siku ndo only way unaweza kumtamani
Nakuelewa sana mkuuSawa mkuu kama ulivosema kuwa inauma kuona mke/ mmeo anawasiliana sana na ex wake kuliko wewe, lakini ( km nlivosema wanaume) wanakuwa wazito kuwa na mawasiliano ya furaha na wake zao basi mke anaamua kuanza ama kama yalikuwepo basi ndo yanaongeza kasi kuwasiliana na wengine. Hii ni mbaya sana hata story mme hataki lkn akipigiwa sim anatia story hata zaid ya nusu saa. Kwa mkewe ni habari ya ada, chakula, fundi, msiba, uginjwa, mchango wa harusi na yanayo fanana...wanawake wameumbwa kupenda kusikilizwa akiongea kwa hiyo mtu akim ignore anaumia sn moyoni. Sasa relief inapatikana humo mitandaoni.
WHAAA DAYA MEAN?Hamna cha samahani. It is what it is.
Marriage is a Holy union witnessed by God and fellow men.
Don't waste peoples time and money if you still feel you gotta get yo' groove on.
Sawa mkuu nimekupata. Unazoea na kuona mwenzako hana jipya.Nakuelewa sana mkuu
Na uko right almost 99% I agree with u
Narudia tena hakuna kitu kinaua au kujenga mapenz kama mawasiliano thabiti
Mazoea yanaua mahusiano