Women know their limits, girls do not

Women know their limits, girls do not

Avatar umebadili ili iweje?

Tired of pointing guns?

Haha, actually Paulo never pointed guns, his smile, charm and brain were the perfect weapons.

Besides, thought i could use my actual Pic, you don't like it?
 
Haha, actually Paulo never pointed guns, his smile, charm and brain were the perfect weapons.

Besides, thought i could use my actual Pic, you don't like it?
Siioni vizuri. Do the necessary and earn yourself some compliments.:tonguez:
 
umeongea vyema hata me hua naona kama mtu hajamaliza mambo yake amalize ndoa ni kitu kingine kabisa japo wengi sana huchukulia kama fashion kitu ambacho si sahihi na mpaka mtu anaamua sasa naoa au naolewa that means ameshaona alienae ndo best choice kwake na haoni kwingine ila hapo ukijua nafasi yako katika ndoa inasaidia sana.
 
Nilisoma thread ya #wrightbrian with heading”Ile naingia tu, jamaa anapiga kofi wowowo la mke wangu, huku wakifurahi”

I asked my self like how will you(mwanamke) feel when you found /caught your man doing that to his workmate?
The bottom line is wanandoa wengi wanaingia kwenye ndoa wakati hatujamaliza ujana HATUJUI KWAMBA KUNA LIMIT (BOUNDARY)YA KILA KITU.

Either you had a boyfriend and unfortunately akaoa mwanamke mwingine and you still think you cant move on na unaamua kuolewa tu sababu umri unaenda au mtu wa kukuoa yupo but still mawasiliano na your ex ni maradufu kuliko unavyowasiliana na mumeo/boyfriend wako. Wanawake wengi bado wanahisi ex bf wao wanawapenda kuliko waume au maboyfriend zao hivi have u ever think how it feels ugundue mumeo au mpenz wako anawasiliana mara nyingi zaidi na ex wake kuliko anavyofanya kwako?

''Eti he is just afriend”,gal plz how come u could not be THAT friend indeed back then na leo ndo urafiki ukolee hvyo?
Each after every hour call or msg what else do u talk chat hasa? Mimi sipingi kuongea au kua na uhusiano na ex wako hususan kama mliachana kwa mema n besides this is life “u never knw”WOMEN/MEN KNOWS THEIR LIMITS,girls/BOYS don’t

2)tools and your old lifestyle
Una boyfriend and still laptop/simu au pad yako umejaza video za mapenz ya jinsia moja/kus.agana how do u think he feels?Lets say u were one of them najiuliza kama hukua ready kwa new challenge kwann umeamua kuingia kwenye mahusiano/ndoa?You had dildos and strapons before and now you are dating/married but still you have them kwa kujificha ‘’ WOMEN/MEN KNOWS THEIR LIMITS,girls/BOYS don’t

3)social networks
Una account zako lets say facebook and badoo,U still behave the same way as you used to be. Naked pictures and all that slut stuffs ,what do u expect?Heri facebook but still having an active acoount on badoo,bi.tch plzDo u knw wht badoo is t for?watu wanajiuza. Do u knw y una acoount badoo?dont tell me rafiki zako walikushauri if I found out you have badoo account and we done for gud(hope u enjoy yo badoo life) girls gotta learn how to be women now,

NDOA/MAHUSIANO SIO FASHION if you are not ready don’t force yourself ndoa haina trial wala rehersal ndo maana wasichana wengi hawafikirii marriage all they think is about WEDDING nitapendezaje na shela la dubai? How big my wedding will be? What are those show offs for? Men need someone to count for not just for sex but how my family will be even after am dead start being countable and stop being loose ball,show offs does not pay the bills

WOMEN/MEN KNOWS THEIR LIMITS,girls/BOYS don’t(SAMAHANI KWA NILIYEMKWAZA BUT HOPE GIRLS CAN LEARN A THING O TWO)
😛opcorn:

I wish there was a way to like mara nyingi........ this is it
 
umeongea vyema hata me hua naona kama mtu hajamaliza mambo yake amalize ndoa ni kitu kingine kabisa japo wengi sana huchukulia kama fashion kitu ambacho si sahihi na mpaka mtu anaamua sasa naoa au naolewa that means ameshaona alienae ndo best choice kwake na haoni kwingine ila hapo ukijua nafasi yako katika ndoa inasaidia sana.

Yaani huwa saa nyingine najiuliza kwanini mtu anaoa au kuolewa maana wayafanyayo hao wenye the so called "ndoa" ni balaa tupu!
 
Yaani huwa saa nyingine najiuliza kwanini mtu anaoa au kuolewa maana wayafanyayo hao wenye the so called "ndoa" ni balaa tupu!

yeah hata mimi hua najiuliza hili swali na hua hata sielewi maana kama ndoa zina hitilaf basi wao wanandoa ndo wakuanza kurekebisha ila imekua fasheni now a days kuchepuka na kama huchepuki unaonekana analogue bado Mungu atusitiri tu maan ni sheeder
 
Mtu anaoa vizurii na mbwe mbwe zoteeeee, alafu after 3 months anataka devorce!!! Khaaaa sasa uliolea nn!! Uvumilivu hakuna kabisaaaa
 
Huwa nawambia wanawake ofisini kwetu, unapoingia kwenye ndoa, unapata majukumu mapya na mambo mengine lazima uyaache. Haiwezekani mwanamke wa mtu unashinda kwenye kumbi za starehe, au kama hivi kushikwa shikwa makalio na wanaume wengine. Mwanamke wa mtu lazima watu wafikirie mara mbili mbili hata kumkonyeza, aogopwe na wanaume. Hizi mambo ndio zinafanya watu waogope kuoa
 
Mtu anaoa vizurii na mbwe mbwe zoteeeee, alafu after 3 months anataka devorce!!! Khaaaa sasa uliolea nn!! Uvumilivu hakuna kabisaaaa

Mimi nahisi huyu shetani naye amezaa hadi na nyumba ndogo yaani ukoo wa shetani umekuwa mkubwa, bila wote kuwa na hofu ya Mungu hakuna ndoa itakayosimama ni kweli shetani yupo na amedhamiria kutuangamiza, akishindwa kupitia kwa mume anapitia kwa mke. Lakini mkimjuwa Mungu angalau nyumba yenu inasalimika,
 
Kabisaaaa!! Shetani anajua familia(ndoa) ndio msingi wa kila kitu hivyo akishaivuruga familia ni rahisi mnooo kuivuruga dunia, so anapumzika tuu anajinywea viroba binadamu tunamfanyia kazi yake, MUNGU pekee ndio suluhu kwa hili.
 
Kuna family conflict zingine ukiziangalia hazina kichwa wala miguu ili mradi mkikaa kwa amani ataingiza kamgogoro hapo ili mradi ndani maugomvi yaweke kambi.
 
Kuna family conflict zingine ukiziangalia hazina kichwa wala miguu ili mradi mkikaa kwa amani ataingiza kamgogoro hapo ili mradi ndani maugomvi yaweke kambi.

Yaani ulimwengu unaangamia kwa kukosa maarifa, duuuuh Mungu aturehemu.
 
Back
Top Bottom