Women know their limits, girls do not

Women know their limits, girls do not

ki ukweli sipendi utoto nikiwa na date mtu
naonaga wanasema mimi mkalinlakini mimi hushangaa zaidi maana una mdate mtu mmelalanusiku anaamka kuchat yupo busy like hell

jamani kamanuna hitaj huo uhuru kwanini ujiingize kwenye mahusiano/ndoa ????
wat for????
 
ki ukweli sipendi utoto nikiwa na date mtu
naonaga wanasema mimi mkalinlakini mimi hushangaa zaidi maana una mdate mtu mmelalanusiku anaamka kuchat yupo busy like hell

jamani kamanuna hitaj huo uhuru kwanini ujiingize kwenye mahusiano/ndoa ????
wat for????


Hahaha Date ama ndoa, unaongelea nini hapa dada?
 
Huu ujumbe watu waukimbia japo ni mzuri. Watu hawapendi wambiwa ukweli. Ingekuwa umbea wa fulani fulani page sita tayari hadi sasa
 
Maofisini siku hizi kupakatana,kukumbatiana bila sababu eti wanaenda na wakati imekuwa kawaida

Nakubaliana na mleta uzi;kuna vitu kila mwanandoa anatakiwa kuviacha baada ya kuingia ndoani tena vingine vya ziada kulingana na aina ya mwenzi uliyenaye


Ni kweli kabisa tena huko maofisini ndo imekuwa hataru mtu kaoa /kaolewa lkn km hajitambui hivi.

Wewe unaanza kuhug hug hovyo na wanaume/wanawake...mnakuwa na matani ya hovyo yasiyokuwa ht na mipaka..mnaitana majina ya hovyo sijui baby cjui dear wkt ht numeo/mkeo humuiti huko nyumbani unategemea nn?

Kesho keshokutwa mnaanza uasherati unasema shetani alinipitia. Wkt wewe mwenyewe ndo umemtengenezea mazingira shetani akupitie. Wkt unachat hovyo na wanaume/wasichana wengine hukujua km utaweza kuingia dhambini.

Tuache kumsingizia huyu shetani jamani. Mpingeni shetani nae atawakimbia. Ukimtengenezea mazingira atakuja na atakuumiza vbaya mno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom