Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,891 Mar 13, 2024 #1 Siku ya wanaume.lini Jamani navona ya wanawake tu mnasherekeaaaa Mkumbuke fathers day sio ya wanaume n ya wababa.....kama baba hioo sikuyakooo Muanze kudai siku zeenu wanaume
Siku ya wanaume.lini Jamani navona ya wanawake tu mnasherekeaaaa Mkumbuke fathers day sio ya wanaume n ya wababa.....kama baba hioo sikuyakooo Muanze kudai siku zeenu wanaume
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 7,043 Reaction score 12,527 Mar 13, 2024 #2 Wanaume hawaingii period ..
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,078 Reaction score 831,703 Mar 13, 2024 #3 Pdidy said: Siku ya wanaume.lini Jamani navona ya wanawake tu mnasherekeaaaa Mkumbuke fathers day sio ya wanaume n ya wababa.....kama baba hioo sikuyakooo Muanze kudai siku zeenu wanaume Click to expand... Mpwaaa we are everything
Pdidy said: Siku ya wanaume.lini Jamani navona ya wanawake tu mnasherekeaaaa Mkumbuke fathers day sio ya wanaume n ya wababa.....kama baba hioo sikuyakooo Muanze kudai siku zeenu wanaume Click to expand... Mpwaaa we are everything
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,160 Reaction score 72,200 Mar 13, 2024 #4 Wanaodai siku ya mwanaume duniani ni wapuuzi.... Mapambano kwa mwanaume ni kila siku na mafanikio yake hayawezi kusherehekewa kwa siku moja
Wanaodai siku ya mwanaume duniani ni wapuuzi.... Mapambano kwa mwanaume ni kila siku na mafanikio yake hayawezi kusherehekewa kwa siku moja
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,891 Mar 13, 2024 Thread starter #5 Joseverest said: Wanaodai siku ya mwanaume duniani ni wapuuzi.... Mapambano kwa mwanaume ni kila siku na mafanikio yake hayawezi kusherehekewa kwa siku moja Click to expand... Haswaampwaa
Joseverest said: Wanaodai siku ya mwanaume duniani ni wapuuzi.... Mapambano kwa mwanaume ni kila siku na mafanikio yake hayawezi kusherehekewa kwa siku moja Click to expand... Haswaampwaa
Ballack-13 Member Joined Jul 8, 2018 Posts 63 Reaction score 83 Mar 13, 2024 #6 Men day itakuwa 19 November 2024
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,774 Reaction score 256,816 Mar 13, 2024 #7 Father's Day June 16.
Mussa Nzugilwa JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 2,391 Reaction score 4,960 Mar 13, 2024 #8 Ilo itusaidie nini? We are complete package.
jay-millions JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 4,482 Reaction score 11,501 Mar 13, 2024 #9 Men day ni kila siku bwashee
jay-millions JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 4,482 Reaction score 11,501 Mar 13, 2024 #10 Men day ni kila siku bwashee