Women cannot keep a secret

This is very true, thus why they used to say mwanamke kusutwa ni kitu cha kawaida and the majority are like that.
 
This is very true, thus why they used to say mwanamke kusutwa ni suna and the majority are like that.
Mkuu Lyagwa wewe sasa unawachokoza Waislam unatumia neno (Suna) kwa mambo ya umbeya ungelisema tu Mwanamke kusutwa ni kitu cha kawaida mkuu shauri yako mchanga wa pwani huo mimi simo.
 
aaah wapi. kuna wanawake tunajua kuweka siri na kujikausha kama wachawi. yaani unajua kitu na unabaki unamchora mtu kimyaaaa!
 
Mkuu.@Boflo Mimi niliwahi kumwambia mke wangu wa kibongo kuwa nina mke mwengine wa kupata uhalali wa kuishi nje ulaya basi nikamwambia usimwambie mtu siku tulio gombana kenda kawaambia ndugu zangu ni kweli Mwanamke hawezi kuweka siri zaidi ya siku 2 ninakubaliana na wewe .
 
Mkuu Lyagwa wewe sasa unawachokoza Waislam unatumia neno (Suna) kwa mambo ya umbeya ungelisema tu Mwanamke kusutwa ni kitu cha kawaida mkuu shauri yako mchanga wa pwani huo mimi simo.

Ahsante mkuu kwa kunikumbusha hilo, nimelichukuwa kama ninavyolisikia likitamukwa, ila ninalifanyia kazi soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…