Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,210
- 40,183
Ee bwana ehee😁for your own risk, au sio kiongozi
Us. MenIf women are trouble maker who is peace maker ?
If women are trouble maker who is peace maker ?
umesomea wapi degree ya saikolojia?. Nyie wanasaikolojia uchwara wa jf heshimuni taaluma za watu.toka kwenye hilo shimo babu ukishaanza kuona unalaumu watu wamekusababishia matatizo especially haya yakisaikolojia jua umeanza kuanguka!.. amka kung'uta vumbi endelea na safari.
😂😂😂😂😂😂 inakuwa kama amekuja shetani et watu wanagombanaje wakiwa wanaish mbali mbali???Mimi na ndugu zangu tulikua tunaishi poa sana, hatujawahi kuwa na ugomvi wala mfarakano wowote.
Nina ma bro wawili na dada wawili. Shughuli ilianza huyo bro wangu wapili alipooa.
Mke wake akaanzisha ugomvi usio na kichwa wala miguu na mke wa bro mkubwa. Ugomvi ukaenda mbali mpaka kuna siku wameshikiana mapanga wanataka kukatana! Tukawaamulia, wakapatanishwa.
Kumbe kichinichini ugomvi ukawa unaendelea. Huku na huku waume zao nao wakatumbukia kwenye hilo sakata, ikafika mahali sasa ma bro wote wawili na wake zao hakuna anaeongea na mwenzake!
Haikuishia hapo, huyu mke wa bro mdogo kuna siku akapiga simu kwa dada yangu na kumueleza ishu fulani nzito kuhusu bro (mumewe). Dada zangu wawili ikabidi waende kuongea na bro kuhusu hilo tatizo. Kufika kule, yule mama kawaruka kasema yeye hajawahi kuwaambia kitu kama icho, wanamsingizia.! Bro nae kamaindi, anawaona dada zake kama ma snichi wanataka kumharibia ndoa yake!
Hapa tulipo sasa hivi hakuna anaeongea na mwenzake familia nzima.
Women are trouble makersMimi na ndugu zangu tulikua tunaishi poa sana, hatujawahi kuwa na ugomvi wala mfarakano wowote.
Nina ma bro wawili na dada wawili. Shughuli ilianza huyo bro wangu wapili alipooa.
Mke wake akaanzisha ugomvi usio na kichwa wala miguu na mke wa bro mkubwa. Ugomvi ukaenda mbali mpaka kuna siku wameshikiana mapanga wanataka kukatana! Tukawaamulia, wakapatanishwa.
Kumbe kichinichini ugomvi ukawa unaendelea. Huku na huku waume zao nao wakatumbukia kwenye hilo sakata, ikafika mahali sasa ma bro wote wawili na wake zao hakuna anaeongea na mwenzake!
Haikuishia hapo, huyu mke wa bro mdogo kuna siku akapiga simu kwa dada yangu na kumueleza ishu fulani nzito kuhusu bro (mumewe). Dada zangu wawili ikabidi waende kuongea na bro kuhusu hilo tatizo. Kufika kule, yule mama kawaruka kasema yeye hajawahi kuwaambia kitu kama icho, wanamsingizia.! Bro nae kamaindi, anawaona dada zake kama ma snichi wanataka kumharibia ndoa yake!
Hapa tulipo sasa hivi hakuna anaeongea na mwenzake familia nzima.
Na hayo niliyoandika ni machache, kifupi hapa mtaani mpaka majirani kashagombanisha yaani ni vurugu mtaa mzimaWomen are trouble makers
Ni lazima iwe hivyoo mwanamke akiolewa akifika tu hataki ajue unawasaidia ndugu zako au upo karibu yao lazima ataweke mazingira yaubnafsi so lazima utokee ugomvi na kia mtu akae kwake. Ni kawaida kwa mume na mke wote ni trouble makers wakushaungana hawataki usumbufu wanataka waishi wao kama waoMimi na ndugu zangu tulikua tunaishi poa sana, hatujawahi kuwa na ugomvi wala mfarakano wowote.
Nina ma bro wawili na dada wawili. Shughuli ilianza huyo bro wangu wapili alipooa.
Mke wake akaanzisha ugomvi usio na kichwa wala miguu na mke wa bro mkubwa. Ugomvi ukaenda mbali mpaka kuna siku wameshikiana mapanga wanataka kukatana! Tukawaamulia, wakapatanishwa.
Kumbe kichinichini ugomvi ukawa unaendelea. Huku na huku waume zao nao wakatumbukia kwenye hilo sakata, ikafika mahali sasa ma bro wote wawili na wake zao hakuna anaeongea na mwenzake!
Haikuishia hapo, huyu mke wa bro mdogo kuna siku akapiga simu kwa dada yangu na kumueleza ishu fulani nzito kuhusu bro (mumewe). Dada zangu wawili ikabidi waende kuongea na bro kuhusu hilo tatizo. Kufika kule, yule mama kawaruka kasema yeye hajawahi kuwaambia kitu kama icho, wanamsingizia.! Bro nae kamaindi, anawaona dada zake kama ma snichi wanataka kumharibia ndoa yake!
Hapa tulipo sasa hivi hakuna anaeongea na mwenzake familia nzima.
Mwanamke ndie anakuaga na shida. Nina dada zangu wameolewa na kaka zangu wameoa. Chokochoko huwa zinatokaga kwenye ndoa za wakina kaka via mkewe, kwenye ndoa za wakina dada mashemeji hawana noma ni watu peace sana.Ni lazima iwe hivyoo mwanamke akiolewa akifika tu hataki ajue unawasaidia ndugu zako au upo karibu yao lazima ataweke mazingira yaubnafsi so lazima utokee ugomvi na kia mtu akae kwake. Ni kawaida kwa mume na mke wote ni trouble makers wakushaungana hawataki usumbufu wanataka waishi wao kama wao
Sisi kila mtu anakaa kwake, na kiuwezo kila mmoja anajiweza hakuna anaemtegemea mwenzake. Infact mimi na bro mkubwa tuko vizuri zaidi kiuchumi kuliko huyo mumewe. Yeye japo ana kipato kizuri, ila ni mlevi sana hela anamalizia kwenye pombe.Ni lazima iwe hivyoo mwanamke akiolewa akifika tu hataki ajue unawasaidia ndugu zako au upo karibu yao lazima ataweke mazingira yaubnafsi so lazima utokee ugomvi na kia mtu akae kwake. Ni kawaida kwa mume na mke wote ni trouble makers wakushaungana hawataki usumbufu wanataka waishi wao kama wao
Wanawake hua mna matatizo sana kwenye kuishi na watu wengine.Mwanamke ni kiumbe kizuri kilichoumbwa kwa mfano wa kupendeza, shida inakuja wanaume the way mnavyowatreat hapo ukishindwa kuishi nae kwa akili lazima awe trouble maker.!!
Dah basi anashida eh Mungu naomba niolewe kuzuri mimi shida yangu ni kuwa na ndugu wapande zote kwangu wanakaa tu huna uhuru hata wakujiachia na mume tokea mtoke honeymoon mpaka mfeSisi kila mtu anakaa kwake, na kiuwezo kila mmoja anajiweza hakuna anaemtegemea mwenzake. Infact mimi na bro mkubwa tuko vizuri zaidi kiuchumi kuliko huyo mumewe. Yeye japo ana kipato kizuri, ila ni mlevi sana hela anamalizia kwenye pombe.
Sasa somehow mkewe anaona kama sisi tunahusika na matatizo yao ndio kuanzisha mabifu yasiyoisha kila siku.