Mwanaume huwezi lelewa kama tunavyowalea wanawake.ukisema haya mambo yapo kila upande sikuelewi!
Mwanaume unafanyakazi ili ukidhi mahitaji ya familia yako.huku appreciation hakuna upande wa pili ndo unaonekana hujafanya kitu! kama wanawake wapo waache wajitetei kuliko mwanaume kusupport wanachokifanya!
Hebu kidogo tuache matusi tuelewe jambo kwanza,Only a stupid like you can dare to call his own mother an animal. Stupid idiot, learn to think!. What a stupid inferior and poor mindset. Pumbavu!.
Mkuu, nimshuhudia wa mama wengi wamepoteza maisha kwa ajli ya watoto na waume zao. Wanavumilia mateso ambayo sidhani mimi kama ningestahimili. Ukiuliza ni kwa nini anakuambia "Watoto wangu". au "Sasa ni Mume wangu, nitafanyaje?".
Haijalishi ana scnario gani, mwandishi ni juha. Hakupashwa kusema woman are fun animals bila hata chembe ya ubinadamu wa kuthamini mchango wa wanawake na hasa mama yake kwenye uwepo wake hadi leo anaandika upumbavu huu.
Ajifunze kutumia maneno sahihi badala ya kuonyesha ushetani wake wakiwaita waliomfanya awe hai hadi sasa kuwa ni wanyama. Hivi yule mama yake angelikuw amnyama akamtoa mimba yake, au alilpomzaa akamziba pua, leo angelikuwepo? Hana shukrani kwa Muumba huyu. Kaniudhi sasa kwa lugha zake za matusi kwa wa mama huku akijiamini kama shetani dhaifu.
Nisamehe kiongozi!.
wengi wanaochangia ni wahanga wa mikasa ya wanawake! wengine hawana uzoefu wana ndoa changa bado wanaona poa.hunmoon.ikiisha wataisoma namba na kutengua kauli zaoKweli hamuwezi kuishi bila sisi ona sasa uzi unaohusu mwanamke unachangiwa vibaya mno viva wanawake wenzangu loh
very inspiring......food for thoughtI stopped thinking about women and I m happy man, they tend to blame me why I m so quite I only follow them when I need sex I m out of stress I live to my economic ability so if you want happyness never allow someone. to spoil your life
wewe mume wako unamdharau?!! soma vizuri uelewe mada nzima.usikurupuke kwa kusoma misitari miwili! angalia hiyo comment imetokana na nini? mchangiaji alidai anapangiwa marafiki! awaache school mate wake.unaona sawa?Jamani mmeiona hii?
Kasema mwanaume mwenzenu hayo.
kwani huwezi kuishi bila ku dictate terms?! hiyo roho ya YESEBELAisee hapa umeharibu,kama kila mtu akisimama na vyake basi ndoa hakuna...hutaki kupangiwa fine kesho na mie ntakuja na vyangu usinipangie...ishi na mwanamke kwa akili sio ubabe utasanda..
ukisoma mistari miwili utafikia hiyo conclusion,lakini ukisoma na kuelewa ni nani niliyemjibu huwezi kusema hayo! hata niliyemjibu hajatoa lawama kama hizo.sio lazima kila jambo u commentYaani hilo ndio tatizo la mleta mada huko kwingine kote ilikua ni zuga zuga...kachemsha kama sio kuchoma kabisa...
I wish your i mage was there to portray your immaturity! Animals here does not represent MIKUMI wild animals it is just referring to biological species. i remember once our teacher told us 'people with little education are very dangerous'. you need to read between lines to understand and comprehend some stuffs.your context is not mine.POLEOnly a stupid like you can dare to call his own mother an animal. Stupid idiot, learn to think!. What a stupid inferior and poor mindset. Pumbavu!.
Nakubaliana na wanaume wenzangu waliofikia hitimisho kuwa ni rahisi kupata mali ukaimiliki na kufurahia maisha kuliko kupata mwanamke ukafurahia maisha.
Japo mpango wa Mungu ni wanaume waoe na waishi na wanawake kwa akili lakini hawa viumbe ni tanzi! unaweza ukafikiria uoe kijijini,ukimleta mjini anakuona wewe uliyemuoa ni fala! unaweza ukaoa mjini ukaonekana unamapungufu kulinganishwa na wenzio! ukionyesha upendo mkubwa na kujari unaonekana umedhibitiwa! ukijitutumua kuwa kauzu unaonekana gaidi!.
Una mpromote mwanamke kutoka maisha ya chini akiwa anasoma/hana kazi ya maana, akikamata channel anasahau hata alikotoka! ukimtendea wema leo mwezi ujao/kesho usipofanya wema kama huo unaonekana hujari/ huna faidi, mazuri yanafutwa!
Sijawahi kusikia mwanaume asiyekili changamoto za hawa mama zetu/Dada zetu.Naamini kuna wakati huwa hawajui wanachokitaka toka kwetu sisi wanaume!
nashukuru.kwa kunielewe! nimetumie.neno animals kama msemo!. hata wenye lugha hiyo wanao huo msemo! sema shule ndogo ndio maana anatoka povu na kwenda mikumi! kaacha maada na kujibu ishu anani attack personal.anastahili kuwa ignoredHebu kidogo tuache matusi tuelewe jambo kwanza,
Alivyosema animals hakuwa anamaanisha kwa ubaya bali "we human beings belongs to animal group"according to Biology!!! sorry if I did not answer your quiries and please don't reply to me if you opt to tusi again.
Jitahidi kuandika kama mtu unayetumia akili...ukisoma mistari miwili utafikia hiyo conclusion,lakini ukisoma na kuelewa ni nani niliyemjibu huwezi kusema hayo! hata niliyemjibu hajatoa lawama kama hizo.sio lazima kila jambo u comment