Woman are very difficult

Asprin kama unanitaka sema,
sio unazunguka zunguka tu.
Kwanza huna hela.
Ni kweli sina hela, lakini pia ukumbuke kuwa:

attachment.php
 
Ni kweli sina hela, lakini pia ukumbuke kuwa:

attachment.php

Kwa hyo ndo tuwape bure?
Potea zako.
Hapa ni mwendo wa ATM mpaka mnyooke.
Mbona hilo bango hamlipeleki kwenye nyumba ndogo zenu?
Zinaishia kwa wives zenu?
Ebo!!
 
pii upesi uje mume wangu...... Nimemiss joto lako.....
Yummy kaenda sokoni na cacico anamalizia kusukwa

Yaani wakati sisi viongozi wenu tunasugua vichwa huku kwenye Tume ya takwimu, still yet hatujapata specific figure mko wangapi , ili tutathmini tutamiboresheaje maisha, nyie mnaendelea kukulana na kuongeza idadi ! Ebooo!
Mnatunyanganya! Mnatuchotesha maji kwenye ndoo iliyotoboka mjue? Mnashindwa kuvumilia kupelekeana kwa one wik ?
Aakkhh !
Mijitu mingine bwanaa!
 
Last edited by a moderator:
Simu yako haitumi message au unaogopa watu wataziprinti? Khaa!!
hubby wallah umepinda, khaaaaaaaaaaaa my ribs, umenichekesha asubuhi! nakupenda zaidi, waache waprint na nyingine waziweke kwenye mabango, hatuachani ng'ooooo!
 
hubby wallah umepinda, khaaaaaaaaaaaa my ribs, umenichekesha asubuhi! nakupenda zaidi, waache waprint na nyingine waziweke kwenye mabango, hatuachani ng'ooooo!

"the problem is not
me! the problem is her understading me!"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom