Wolper vipi, makeup imedunda au ndo uzee?

Wolper vipi, makeup imedunda au ndo uzee?

Yule mmakonde amechelewa kweli kweli maana wenzake walimkula akiwa mama yeye amekumta akiwa bibi.
 
...sijui hakujiona kwenye kioo kabla ya kutoka! dah!
Toka asimame pale Dodoma siku ileee basi nilijua laana ya kuchuja inamfuata huyu mtoto wa kike. Ziko nyumba zingine sio za kuingia, ukiingia huko ni kujitafutia gundu tuu!
 
Kama teja fulani[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom