Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,941
- 19,130
Amewaponda wasichana wasio wasanii wanaovaa nusu uchi na kutupia picha zao mtandaoni, Kasema mtu hakatazwi kuvaa uchi ila inategemea unaenda wapi, mfano kwenye harusi unavaa nguo fupi ili iweje?