Ishu ni kwamba mastaa wa kike hawanaga washauriHilo shoga tu.
Location ya mitindoAlaah! kumbe wapo location!
Ukiangalia hiyo pic kwenye shuka kuna kama maandishi .......lodge sasa mitindo gani inafanyika lodge na hakuna mitindo ya picha rahisi kama hizo za phone capture
whaaaaat? unamaana hata fleva ya bongo?Wakiwa kijiweni taarab na bongo fleva kwa wiiingi huku wakibana pua.....mwanamme kamili anasikiliza bongo fleva au taarab?
~~~>>>Hawa watoto wanalaana!
whaaaaat? unamaana hata fleva ya bongo?
Watu mnatoka mikoani mnakuja dar hamna kazi mnafikiri pesa zinaokotwa tu, halafu mnafanya ujinga then mnasingizia wanaume wa dar acheni ushenzi.
Humo vifuwani wanawekaga nini hawa watu hadi panatuna kiasi hiko?hilo moja hapo kono msuli huo ila chapati ya maji kuikata haliwezi na mende linaogopa kama toto la kike.ndio maana hata maisha yanazidi kuwa magumu,Mungu hawezi kutupa mema hali tukimrudishia mabaya kama haya.
Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
Ngoja tu mimi niendelee kusikiliza mambo ya Koffi, fally na ferre cola.Ulikuwa hujuwi hili? Kule kuna wanaume tata wengi mno.
Bibi umemaliza mjadala.Hilo shoga tu.
Weeeeeee uwe na adabu wengene wanaume hao hao wa dar ndo wanawalisha wa mikoan na kuwaolea dada zenuWanaume wa dar kazi mnayo, Mimi vigumu sana kutofautisha mwanaume wa dar na mwanamke wa Dar.
Wote wanajiremba as if wote ni wanawake, wote wanapenda chips mayai, wote wanapenda kuvaa nguo za kubana.
Wanaume wa dar badilikeni jamani