Wolper afungukia skendo ya ushoga ya bwana'ke

Duuuh mungu anakuona atii

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Anisamehe kwa kashfa hiyo. Ila na nyie mjiongezepo kidogo atii.

Gym mnakimbilia aerobics hamtaki kueka weight japo Ku build muscles, cream mnapaka, nyusi mnanyoa, lip glossy mnayo duh!

Wanaume sura lainii, ngozi lainii Haina hata kovu la baiskeli kweli?

Sent from my Royale A1 using JamiiForums mobile app
 
Ila naona, kama huyo jamaa aliisha pigwa kitu ile wanaume timamu wanaogopa sana.

Hiyo mitindo gani ya kushikwa chuhcu bubu za kiume na mwanaume mwenzio kwa mgongo wa usanii wa mitindo!?
 
Yaani hizi picha hadi nahisi kichefuchefu maana hapo shuka walizokalia zimeisha chafuka.

Mchele Sana hawa jamaa.
 
Shida ya huyu dem
Akikupenda aningia na
Miguu yote miwili

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Anisamehe kwa kashfa hiyo. Ila na nyie mjiongezepo kidogo atii.

Gym mnakimbilia aerobics hamtaki kueka weight japo Ku build muscles, cream mnapaka, nyusi mnanyoa, lip glossy mnayo duh!

Wanaume sura lainii, ngozi lainii Haina hata kovu la baiskeli kweli?

Sent from my Royale A1 using JamiiForums mobile app
Hao ni wanaume wapo wapi,mana lazma ni wale wa jiji la chips kiepe?

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wa dar kazi mnayo, Mimi vigumu sana kutofautisha mwanaume wa dar na mwanamke wa Dar.
Wote wanajiremba as if wote ni wanawake, wote wanapenda chips mayai, wote wanapenda kuvaa nguo za kubana.
Wanaume wa dar badilikeni jamani
Umesikika kidume cha ngerengere.
 
Ponda raha mama kufa kwaja, picha za wanamitindo ya bongo Nzuri kama kitendawili!
 
Wanaume wa dar oyeeeeee , mnakula nakuliwa ...

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom