cha1509
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 258
- 403
Kama una sifa omba kaziView attachment 1721188
Kirefu cha WMA ni nini?Kama una sifa omba kaziView attachment 1721188
Weights and Measures Agency..Kirefu cha WMA ni nini?
Alafu attachment yako haifunguki.
Sio barabarani pekee mkuu.. Wakala wa Vipimo ni field kubwa sana, kuanzia madukani, masokoni, hospitalini, viwandani, flow meters bandarini, sheli za mafuta, tankers, matipa yani wamecover sehemu kubwa sana..Nashukur umejibiwa, kiswahili chake ni wakala wa vipimo barabarani!