Wizkid kuja Tanzania

Wizkid kuja Tanzania

Msanii Wizkid amethibitisha kuja Tanzania kama alivyoahidi ikiwa n moja kati ya nchi atakazotembelea around the Africa. Get ready for good music kuanzia Holla to you're boy, tease me, dance for you, Caro, show the money, in my bed, kind of love hadi Ojuelegba.
Naona pilipili ya Naija yawawasha wabongo..endeleeni ivoivo tutafika thuuuh!!!
 
Msanii Wizkid amethibitisha kuja Tanzania kama alivyoahidi ikiwa n moja kati ya nchi atakazotembelea around the Africa. Get ready for good music kuanzia Holla to you're boy, tease me, dance for you, Caro, show the money, in my bed, kind of love hadi Ojuelegba.

Nikefurai zaidi kama wizkid angefanya rmx na #joh_makini kwa ile ngoma yake ya #nusunusu au #xo ili tupeleke music mwngine tofauti katika level zingine zakimataifa ...!!
Naishauri kamati kama kunauwezekano..
 
sasa kama davido kachomolewa itakua yeye daimond au coz uliiona ile pic ya SALAAM sk na wiz manager ndo mana unasema hivyo

Wapi kamtolea nje davido collabo soon davdio ft wiz kid ita drop wiz kid n kaka wa davido in terms of umri n mziki hawezi mfanyia mdogo wke ivyo
 
Last edited by a moderator:
zile tuzo zenyewe za kijinga sana watu waliiponda video bora ya mwaka nyimbo bora alistahili wizi sema hakuomba kura ni kama kawadharau hivi ila wiz anajua

Wiz kid kwa wimbo gani angechukua MTV za mwaka huu.?
 
Wapi kamtolea nje davido collabo soon davdio ft wiz kid ita drop wiz kid n kaka wa davido in terms of umri n mziki hawezi mfanyia mdogo wke ivyo
soma link apo juu si umewekewa acha kutoka povu
 
Last year wiz kid hakuwa na nyimbo ya kumfanya kuchukua MTV awards

Wizkid naye ni muhanga wa Davido, kila category anayopangwa nae kwenye tuzo lazima akae, anakalishwa home Nigeria hadi Internationally, Wizkid anabaki kusifiwa tu oh wewe ni mkali kuzidi Davido, unasauti nzuri.Namfananisha na Alikiba anavyosifiwa hapa Tanzania ila mafanikio hayaonekani
 
Kweli kabsa umeongea point davido Ana mkimbiza sn wiz kid km diamond anavyompeleka puta kiba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom