Wizkid kuja Tanzania

Wizkid kuja Tanzania

Wiz jeuri sana davido kaomba collabo kamchomolea
 
wizkid na kiba ni marafiki na wanajuana shahidi mejialabu director wa cheketua na crazy

Haaah sasa urafiki wao umekujaje me cjamuona wiz kid kamfollow kiba halafu jua wimbo wa crazy haukuwa wa wiz kid ulikuwa wa shey ft wiz kid
 
mjeuri wa africa anakuja tz nasikia jamaa alikataa kupiga pic na daimond kwenye mtv awards jeuri sana yule dogo

Acha uongo ww wiz kid hawezi kumchomolea diamond picha n yeye alienda kwny tuzo ucku tu n alimpa dai muliko wa white party yke sema mond alikuwa anatakiwa arudi bongo haraka akafanye show
 
uongo wako ni wakimataifa
 
Davido alisema collabo yao inatoka mwezi wa 8 ngoja tuckilizie
kedrick humjui wizkid vizuri wewe kumbe yule jamaa hapendi misifa ya kijinga na shobo na hafanyi collabo kijinga jinga achana na wizkid kabisa
 
Wiz kid collabo anatoa tu tena anafanyaga n ma underground Sana
 
Hiyo collabo davido Ndio mwenye uhitaji zaidi
mkuu wiz ni hatari best male wa africa analilia collabo kwa wiz sasa hapo angekuwa jamaa fulani ndo anafanyiwa hivyo pasingekalika mjini
 
mmmh sio kwa wizzy dadaangu, anajiamini balaa huyo jamaa, na hizo KiKi wanazompa wamarekani

wizz kid anajiamini sana, kwenye Instagram hana picha ya ya kuhamasisha watu wampigie kula kwenye zile tuzo za MTV.
 
zile tuzo zenyewe za kijinga sana watu waliiponda video bora ya mwaka nyimbo bora alistahili wizi sema hakuomba kura ni kama kawadharau hivi ila wiz anajua
 
Haaah sasa urafiki wao umekujaje me cjamuona wiz kid kamfollow kiba halafu jua wimbo wa crazy haukuwa wa wiz kid ulikuwa wa shey ft wiz kid
sasa si na yeye wiz yupo au kwa hiyo kama wiz kamfollow daimond ndo anataka collabo wiz hawezi fanya collabo na daimond
 
Acha uongo ww wiz kid hawezi kumchomolea diamond picha n yeye alienda kwny tuzo ucku tu n alimpa dai muliko wa white party yke sema mond alikuwa anatakiwa arudi bongo haraka akafanye show
sasa kama davido kachomolewa itakua yeye daimond au coz uliiona ile pic ya SALAAM sk na wiz manager ndo mana unasema hivyo
 
Last edited by a moderator:
zile tuzo zenyewe za kijinga sana watu waliiponda video bora ya mwaka nyimbo bora alistahili wizi sema hakuomba kura ni kama kawadharau hivi ila wiz anajua

kama tuzo za kijinga mbona alihudhuria South siku ya tuzo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom