Wizi, wizi, wizi...!!

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,113
24,642
Ukienda vibaya unalizwa..
9562e1a8475357d8cdbd38b7c7c119cc.jpg
 
Mh ni hatari,
lakini na mtu anayenunua bila kujaribu kama inawaka ni mzembe
 
Tatizo kama alinunua kwa kutumia mlango wa nyuma au maduka yasiyokuwa na nidhamu hayana hata risiti zinazotambulika , pole zake jamani utapeli ni mkubwa wanatumia mbinu mbali mbali ili mradi wapate pesa isiyomtoa jasho
 
Back
Top Bottom