physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 391
- 532
Watu siku hizi hawaogopi nyumba za ibada.Wakati twosome Muslim school(shule ya kiislamu),tulikuwa jirani na kanisa kubwa tu,eneo la kqnisa,ilikuwa tunaliheshimu sana,wanafunzi ilikuwa hata kukaa kwenye ganzi za kuingia kanisa,tulihesabu tunamkoseq Mungu kwenye nyumba ya ibada.Na huko shule,waalimu walikuwa wanatusisitiza,kuheshimu nyumba za ibada,yakiwemo makanisa.Hivi sasa eneo hilo la kanisa,limezungukwa na wamachinga,hata hawajali kama hiyo ni nyumba ya ibada.πππWahuni wamezipenda kobazi
waja na ndala za 3000/= waondoka na kobazi za 35000/=
Haya utayapata masjid tuu π
Huko kuna AllahHe! watu wa dini moja wanaibiana, kuna mungu hapo au ni mkusanyiko wa wezi?
Kumbuka sio wote wanaoenda huko wana lengo la kuswali. Wengine wanaenda kwa malengo yao mengine mkuuHe! watu wa dini moja wanaibiana, kuna mungu hapo au ni mkusanyiko wa wezi?
Kuna mwaka kiongozi mmoja mkubwa serikalini naye walimwibia viatu MsikitiniKwanini kuibiana viatu katika msikiti?
Hii tabia ikomeshweeeee
Kwani ni lazima kila mtu aende kavaa kobazi?
Tazama video chini
View attachment 2891743
Mie navaa ndala,nikivaa viatu nabeba na kifungashio kabisa cha kuhifadhia,Mimi tokea niibiwe viatu nikiwa mdogo hadi leo hii huwa naenda msikitini na ndala.
Jana tu nimeenda kusali na ndala zangu, bila stress.
Tabia za kiduanzi hizi. Sasa hili nalo lilikuwa la kuweka Tangazo namna hii? Kwani akituma hii video kwa watu watarudisha? Aweke ushahidi kuwa alienda na viatu kwanza. Aaache unafiq umemjaa sana.Kwanini kuibiana viatu katika msikiti?
Hii tabia ikomeshweeeee
Kwani ni lazima kila mtu aende kavaa kobazi?
Tazama video chini
View attachment 2891743
Atasema huu wizi uliratibiwa na Nyerere
Mimi hadi Eid naenda na ndala, sitaki kusali na stress za viatu kuibiwa.Mie navaa ndala,nikivaa viatu nabeba na kifungashio kabisa cha kuhifadhia,
Kuna mpemba alikua ananileteaga sendrozi sijui aliendaga wapi.Kwanini kuibiana viatu katika msikiti?
Hii tabia ikomeshweeeee
Kwani ni lazima kila mtu aende kavaa kobazi?
Tazama video chini
View attachment 2891743
Siku ya eid ndiyo wengi wanaibiwaga viatu,,,na wengine wanavaa vyako wanakuachia ndala zilizochoka.Mimi hadi Eid naenda na ndala, sitaki kusali na stress za viatu kuibiwa.
Nikibadili sana crocs labda.