Wizi wa TV Dar es Salaam

Wizi wa TV Dar es Salaam

Mimi wamewahi kunipiga TV inchi 42 then nikanunua nyingine. Baada ya kama miezi 9 wakarudi tena. Siku hiyo bahati nzuri nilikuwa macho so nikawasikia kabisa wanavyoangaika na dirisha. Nikawaweka kwenye target nimdedishe moja. Wife akawaonea huruma, so nikaenda pale dirishani nikawaambia "madogo sijalala, mtakuja kufa".
maxime melo thank you for JF Mungu akubariki
 
Hahaha. Eti aliniambia alianza kuwaza jinsi mama wa huyo kijana anakavyoumia akipata taarifa kijana wake ameuliwa. Akaangalia thamani ya TV na uhai wa huyo kijana! Anaona maadam hawajaingia ndani na hakuna madhara ya kimwili waliofanya basi akaona busara ni kuwakurupusha wakimbie.
bro nitumie majina yako kamili nikurushie kitu kidogo werld remit ama western union
 
Hawa vibaka wamekuwa mtihani mkubwa, watu hawana amani majumbani mwao, huko Goba nasikia ndo kumekithiri. Tuendelee kushauriana nini cha kufanya, labda tutoe mapendekezo irudi sheria ya uzururaji

Fanyeni kama mbagala mwizi akikamatwa ni moto hawarudi hakuna kupelekana polisi
 
Fanyeni kama mbagala mwizi akikamatwa ni moto hawarudi hakuna kupelekana polisi
Naskia tegeta wao wanamtikisa mwizi Adi ubongo unachanganyika, maini na utumbo vinachanganyika afu wana kuacha hapo. Haichukui dk 10 unajifia mwenyewe
 
Hahaha. Eti aliniambia alianza kuwaza jinsi mama wa huyo kijana anakavyoumia akipata taarifa kijana wake ameuliwa. Akaangalia thamani ya TV na uhai wa huyo kijana! Anaona maadam hawajaingia ndani na hakuna madhara ya kimwili waliofanya basi akaona busara ni kuwakurupusha wakimbie.
Basi ungempasua japo kende zake ili asije akatuongezea idadi ya vibaka mtaani
 
Naskia tegeta wao wanamtikisa mwizi Adi ubongo unachanganyika, maini na utumbo vinachanganyika afu wana kuacha hapo. Haichukui dk 10 unajifia mwenyewe
Hii kiboko.... hapo mtu wala huna kosa la majaji mbele za Mungu. Anakuwa amejifia kwa hiari yake
 
Salasala juzi kuamkia leo wamechukua seblen jion tuu saa 1 flat 42inch juu ya meza duuu yan awajamaa ukiwaotea amna cha huruma aseee🧔🏻🧔🏻🧔🏻🧔🏻 nashauri tukilala tuvae mask kwasb wanakuaga na spray yausingz
 
Bro wangu hana miezi miwili walimliza,itakuwa wezi wana order kubwa ya tv
 
Hao ni shemeji zako hela ya tv wanakula na mke wako
 
Back
Top Bottom