Wizi wa TV Dar es Salaam

Wizi wa TV Dar es Salaam

Hahaha. Eti aliniambia alianza kuwaza jinsi mama wa huyo kijana anakavyoumia akipata taarifa kijana wake ameuliwa. Akaangalia thamani ya TV na uhai wa huyo kijana! Anaona maadam hawajaingia ndani na hakuna madhara ya kimwili waliofanya basi akaona busara ni kuwakurupusha wakimbie.
UMETENGENEZA ROOM NYINGINE YA WAO KUKUJARIBU.
 
Back
Top Bottom