Raaj
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 205
- 29
Ndugu wana Jf huku kwetu wizi wa simu umekithiri sana juzi niliibiwa Nokia C3,nime jichanga nime nunua Nokia X2-01,kama mjuavyo kinga ni bora kuliko tiba naomba msaada Ndugu zangu kama kuna uwezekano mnipe maujanja ya kufanya ili mtu akiiba na kubadiri laini nitumiwe sms au njia ambayo inaweza kunisaidia kuipata simu ikiibiwa
Asanteni sana
Asanteni sana