Mmh yani police wanakushauri hivyo?Habari wakuu!
Kuna kibaka mmoja kaiba simu yangu jana usiku ila bado anaitumia. Kwa bahati nzuri simu ina PIN sema anaweza kuiflash.
Tatizo tukiipiga namba inapokelewa na mtu anajifanya kauziwa hiyo simu na aliyemuuzia anamjua, tatizo tukimwambia tuonane atupeleke kwa huyo aliyemuuzia anatuletea siasa nyingi halafu anataka kwanza nimpe PIN yangu ya simu ili aweze kunipigia tukitaka kuonana kwenda kumfata huyo aliyemuuzia.
IMEI ya simu ninaijua na Namba yangu hajaitoa kwenye simu mpaka sasa.
Nimeenda Kituo cha Polisi amenishauri tu niiblock laini basi ila simu niisahau.
Naomba ushauri wenu nini cha kufanya. Maana simu nimenunua Bei kidogo.
Dah, nimepata notification kuwa umenitag kwenye uzi wa "Wizi wa Simu"
Ukishaflash simu mobile traler haifanyi loloteMUAWAGE MNATUMIA MOBILE TRACKER.
Mtu akiiba simu yako very easy kumkamata mpk picha yake unaweza kuipata bila shida yoyote
Tafadhali 2elezee inavyofanya kaz mkuu naje ni App yakununu au free nakama niyakununua unalipa kwamtindo gani
Kama ina gmail ndani yake na nna amini inayo, ingia kwenye find my device, kama kawasha data mchezo umeisha utapiga picha yake, uta locate simu ilipo, utaifuta data, utapiga siren nk.Habari wakuu!
Kuna kibaka mmoja kaiba simu yangu jana usiku ila bado anaitumia. Kwa bahati nzuri simu ina PIN sema anaweza kuiflash.
Tatizo tukiipiga namba inapokelewa na mtu anajifanya kauziwa hiyo simu na aliyemuuzia anamjua, tatizo tukimwambia tuonane atupeleke kwa huyo aliyemuuzia anatuletea siasa nyingi halafu anataka kwanza nimpe PIN yangu ya simu ili aweze kunipigia tukitaka kuonana kwenda kumfata huyo aliyemuuzia.
IMEI ya simu ninaijua na Namba yangu hajaitoa kwenye simu mpaka sasa.
Nimeenda Kituo cha Polisi amenishauri tu niiblock laini basi ila simu niisahau.
Naomba ushauri wenu nini cha kufanya. Maana simu nimenunua Bei kidogo.
Hahaaa wala hakuna shida mkuu..ilikua nikatika kumpatia mawazo jamaa ye2 aliyepigwa SONY yakeDah, nimepata notification kuwa umenitag kwenye uzi wa "Wizi wa Simu"
Nikasema 'vipi tena'
Kumbe hakuna tatizo.
Tafadhar Nifundishe mkuu jinsi ya ku hack.Ndiyo maana huwa napenda kui-hack simu yangu. Nilishajutia
Ili ikipotea au nikiibiwa nimpate aliye ichukua.
Tatizo watu huwaza ku hack simu za wapenzi wao tu.
Poa Mkuu ngoja niende kituo chenginepolisi gani hao wanaongea upupu huo kwa simu ambayo mwizi anaitumia, namba inajulikana, imei inajulikana, mm niliiibiwa simu sikufaham imei na namba ilitupwa, waliniomba tuu namba nilizokua nazipigia mara kwa mara nikaipataa, badilisha kituo hao wazinguajii
una unganishaje mkuuKama ina gmail ndani yake na nna amini inayo, ingia kwenye find my device, kama kawasha data mchezo umeisha utapiga picha yake, uta locate simu ilipo, utaifuta data, utapiga siren nk.
Na huwa inashauriwa ukinunua tu simu ya android unganisha na google find my device.
Unatumia simu gani mkuu. [emoji3][emoji3]ingawa hili swali gumu kwa wengiuna unganishaje mkuu
Ulitumia shilingi ngapi?polisi gani hao wanaongea upupu huo kwa simu ambayo mwizi anaitumia, namba inajulikana, imei inajulikana, mm niliiibiwa simu sikufaham imei na namba ilitupwa, waliniomba tuu namba nilizokua nazipigia mara kwa mara nikaipataa, badilisha kituo hao wazinguajii
na kweli ni swali gumu..Samsung note 4Unatumia simu gani mkuu. [emoji3][emoji3]ingawa hili swali gumu kwa wengi
Siku nyingine uwe unasoma kabla ya ku comment.Wahi police
1. Nenda kwenye "settings" ya simu yako.na kweli ni swali gumu..Samsung note 4
Sorry naomba icon ya hiyo Mobile tracker...nimekutana nazo nyingi it's confusing now.Doh ni process kidogo kwa kuandika hapa but nenda YouTube andika how to use mobile tracker.
Ni bure.
Note:usije ukaweka kwenye cm ya mwingine maana utakuwa unapata information zake
asante1. Nenda kwenye "settings" ya simu yako.
2. Tafta sehemu ilioandikwa google (google settings) angalia shots
3. Tafta ilipoandikwa "Security" Tazama screen shot
Kuanzia hapo anza kuset sidhan kama utashindwa.View attachment 1113918View attachment 1113932View attachment 1113934View attachment 1113937