B49
Member
- Sep 20, 2018
- 75
- 119
Jamani jihadharini na wizi wa kutumia pikipiki hasa mnapokuwa kwenye magar na vioo Viko wazi
Hii ilinikuta mm jana wakati nipo kwenye daladala naperuzi jamii forum ilikuja pikipik inavijana wawili kwa kasi ya ajabu yule wa nyuma akaingiza mkono dirishani na kuivuta sim yangu ila mungu mkubwa niliishika kwa nguvu walifeli