Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,085
- 38,460
Kumekuwa na uzalishaji wa kuiba misalaba ya wapendwa wetu waliolala. Nilikuwa nasikia, leo nafika kusafisha makaburi ya mama na bibi nakuta jirani zake misalaba imevunjwa mbaya wameshindwa kuitoa. Kucheki kwa mama hoi wamevunja nusu kipande wakakilaza chini waliposhindwa kuuchukua.
Mungu awalinde kama kuna ndugu wa yule askari Elizabeth alieogongwa majuzi na msafara wa Raisi pale Sayansi nao naona msalaba wao umevunjika wakautengeneze.
Note: Makaburi ya Mbweni
Mungu awalinde kama kuna ndugu wa yule askari Elizabeth alieogongwa majuzi na msafara wa Raisi pale Sayansi nao naona msalaba wao umevunjika wakautengeneze.
Note: Makaburi ya Mbweni