Analog
JF-Expert Member
- Apr 4, 2024
- 335
- 631
Usemi wa "kufa kufaana" wakamilisha dhana ya kinachoendelea mjini Shinyanga kutokana na kukithiri kwa wizi wa misalaba kwenye makaburi.
Wakati wananchi wakiomboleza kuwapoteza wapendwa wao na kuwasitiri vyema kwa kujena makaburi na kuweka misalaba juu yake kulingana na imani zao, watu wasiojulikana wamekuwa na ujasiri wa kuiba misalaba hyo.
Misalaba inayolengwa zaid ni ya chuma ambayo uuzwa kama chuma chakavu, tofauti na maeneo mengine ata ile ya mbao hutumika kama kuni kwa mama ntilie.