Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,208
- 5,572
We haikufai tajiri šNdio mnafanyeje huko
We haikufai tajiri šNdio mnafanyeje huko
Bando la 2k tangu march mpaka leo sijalimaliza et!Wadau Leo Voda na halotel wanakula MB vibaya mno ukiweza la Huku ukafungua hata jf sekunde limeisha, huu ni wizi au Kuna shida sehem,