jamani muwe macho sana mnapowapa matela wa crdb hela. Kuna huyu mmoja hapa mbezi mwisho, kijana wa kiume mweupe, ukimpa hela wakati wa kudeposit anazichanganya fasta na nyingine halafu wakati anazihesabu na mashine anakuambia mara kumi moja hamna, jana nilimpa mamilioni ya pesa cha ajabu aliniambia hamsini nzima imepelea. Nilitaka kuanzisha vagi lkn nikaona what is fifty thousand to me. Nimemuwekea mtego huyu kijana. Mtanisoma kwenye magazeti.
Waacheni waibe tu jamani.. Mshahara wenyewe laki 6 na hapo unaingia ofisini saa 12 asubuhi unatoka saa 2 usiku..
Off ni siku moja tu kwa wiki.. Hawa bankers wengi hamna kitu ukimtoa Bank Manager na Treasurer hizo takataka sijui Teller, Loan Officer ni njaa tupu
alafu cha ajabu kuna watu wanaziheshimu hizo kazi...nakumbuka wakati nimemaliza chuo nilifight sana nipate kazi bank nikidhani kuna mambo ya maana!!
Sasa wa hapa waterfront ndo balaa dada mmoja wa teller ya pili kulia kama unaingia alinipiga laki mbili yan bando la noti mia za elfu mbilimbili
Ni mweupe hv nikamshtukia akaniambia nisimuharibie akanipa uchi na kunitunuku mambo yetu yale juu ndo nikamsamehe
Washenzi sana hawa mateller ***** zao