Wizi wa magari Dodoma

Ukitaka kumaliza mchezo kabisa. Wakati wa kulala jioni unashusha engine na gear box. Au unavua kabisa na body. Washenzi hapo utakuwa umewaweza sana...watu wana mambo mengi kuana kuanza kuharibiana ratiba si sawa hata kidogo.
 
Unapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.

Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
Yaani uwe na kazi ya kujaza upepo kila siku asubuhi na kuutoa jioni. Me nadhani suluhu ni kuanzisha sungusungu wa patrol muwalipe kwa mwezi...... Wakifanya hiyo patrol kwa muda wa miaka miwili hawa wezi watakufa njaa watatafuta kazi nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakua wametumwa na Lema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kulala hakikisha unafungua nati zoote kwenye matairi kisha lala
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…