Mbinu za wazee wa mwaka 47!Unapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.
Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
Good idea...Kuna fyuzi flani ukichomoa gari haiwaki hata kwa dawa,ila mm nilikua naona tu kuna mdau tukipaki gari anachomoa fyuzi flani,kuwaka mpaka airudishe tena,Ila wajuvi wa hizo mambo nadhani wanajua ziadi ni fyuzi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣Unapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.
Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
Unapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.
Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
Mbinu za wazee wa mwaka 47!
unapolala toa distributor gari haitawakaHizi majuzi nimesikia watu watatu ninao wafahamu wameibiwa magari Dodoma. Na jhuu wizi unafanyika kibabe sana, wanakuja nyumbani wanafunga grill zenu kwa kufuli hata mkiamka wakato wanawasha gari msiweze kutoka.
Tena naskia kama una geti la ku slide wanaruka ukuta wanaingia ndani kisha wanavunja kufuli na kifungua gari...
hawa jamaa inaelekea ni wajuzi sana kiasi kwamba wanaweza washa gari lolote na hata kama lina alarm zinakuwa disabled.
Magari wanayopenda mpaka sasa ni Run X, Toyota Allex, Kluger, IST, n.k
Ushauri
Tufunge car tracking, japo sijui kama wanaweza.kuzi.disable au kujua kama ipo
Funga kamera nyumbani au motion detector
Kama kuna mwenye ujuzi zaid tujuzane maana hii hali ni hatar kw mkoa wa DODOMA kwa sasa... Polisi naona ni kama wameanza mishe za kuyasaka.. Mungu atusaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
1.immobilizerLete mbinu za vijana wa 2020..
Hivi gari za sasa hivi zina hio kitu?unapolala toa distributor gari haitawaka
zinayo mkuu bila hiyo gari haiwezi kuwaka kamweHivi gari za sasa hivi zina hio kitu?
Sasa hii itakuwa usumbufu,kila siku utoe betri na upepo kwenye tair alafu ukiamka asubuh ujaze tena,Unapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.
Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
zinayo mkuu bila hiyo gari haiwezi kuwaka kamwe
unajua kazi ya distributor kwenye gari??Gari za zamani ndio zilikuwa na distributor. Gari za kisasa hazina distributor. Electronic fuel injection imeondoa distributor.
Mfano GX100 kavu ina distributor ila GX100 VVTi haina distributor. Maybe I'm wrong.